Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Mungu amsaidie katika hiyo changamoto.
Hiyo ndio hali halisi au tabia halisi ya huyo mke,kipato cha mumewe kilikua tu kinaificha hiyo tabia yake,
Mshukuru Mungu amekupa mtihani ili ugundue kua huyo sio mke,sikuombei mabaya ila siku ikitokea ukaugua na kushindwa hata kujitafutia riziki,huyo mwanamke atakunyanyasa sana au hata kukuacha ukiwa katika hali hiyo,
Huyo sio Mke,hakufai kabisa coz huo ndio ulikua mtihani wa kumtambua jinsi alivyo,achana nae mara moja kabla hayajakufika makubwa zaidi,na kitendo cha kukutangaza mpaka kwa ndugu zake nacho hakivumiliki,
Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.
🤣🤣mahaba yalivyokuwa mazito
NB imekaa poaMwambie jamaa yako aachane na maneno ya huyo mke wake aangalie matendo zaidi, wanawake ndivyo walivyo, akiona matendo ya mkewe hayaridhishi aangalie namna nzuri ya kisaikolojia ya kumuweka sawa na akishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .
Nb.Mwanamke anaye omba hela za matumizi kwa mwanaume ni bora zaidi kuliko mwanamke anayejiweza kiuchumi
UsijidanganyeTatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupenda
Avumilie tu.....Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Shika, kamata na ujue, upendo ni hisia. Huyeyuka wakati wowote ule, sikwamwanaume wala mwanamke. Wanachokosea wenzetu ni kutokuwa na empathy au hekima mwenzao akienda kamba huku wakiwa wote wanavumiliana. Kilicho bora, kuishi kama tulivyoagizwa na mtume Paulo ni vyema sana, ngono ukikosa hufi na mke sio lango la uzima wa mafanikio.Tatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupenda
Kama kawaida, huu ushauri ungetoka kwa mwanamkeMpokee huyo ni mkeo tu ..iwe jua au mvua

. Nikae pembeni tu, nyie watu ni shida sana.Shida kivipi mkuu.. ? Ulitaka niseme waachane?? MUNGU anachukia TalakaKama kawaida, huu ushauri ungetoka kwa mwanamke. Nikae pembeni tu, nyie watu ni shida sana.
Mungu pia anachukia dharau, kebehi na kutofuata maandiko yake kwamba mke atamtii mume wake, so usimtaje jina lake bure. Kila mtu achukue hamsini zake, amani ni bora kuliko kukaa na mwanamke mkorofi. Akikubali kumrudia nitamshangaa sana. Bora kuishi mwenyewe bila mke au mwanamke. Haufi!Shida kivipi mkuu.. ? Ulitaka niseme waachane?? MUNGU anachukia Talaka
Broh nakupungia mkonoAnang'ang'aniaje pahala anapoona hapana muendelezo wa mbele? Aamue mapema kuliko kujifariji kwa kusubiri ilhali anajua fika kuwa ndoa yake haina uhai wa muda mrefu.
Avumilie yana mwisho yatapita atasimama tenaRafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Kuna muda Mungu anatuonesha ngozi halisi za watu wanaotuzunguka kupitia changamoto na magumu , kupitia hayo aliyoyapitia inabidi achukue hatua za kujinasua mapema
Kuhisi ni haki yako kisheriaNahisi hii inakuhusu wewe