Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Sehemu gani hapo Mtwara.Shangani,, Ligula, Chikongola,Chuno ,Magomeni,Mikindani? Nifunge safari.
Anaishi Tandahimba, Ni mmakonde huyu anaitwa ZUWENA LIBUI nimesoma naye shule ya Sekondari Kitangali, baadae akaenda Msumbiji, ndo amerudi mwaka 2015,
 
Maisha yako kasi sana baada ya kuwaza njia ya kupata pesa wwe unawaza uzuri wa mwanamke ambaye uwezi mpata
 
Anaishi Tandahimba, Ni mmakonde huyu anaitwa ZUWENA LIBUI nimesoma naye shule ya Sekondari Kitangali, baadae akaenda Msumbiji, ndo amerudi mwaka 2015,
daaah!
 

Attachments

  • 1451657011288.jpg
    1451657011288.jpg
    9.2 KB · Views: 46
Mashallah...wanawake wa kiafrika wazuri sana,curvy women are attractive......
 
Yuko boura kiukwel Mungu anapendelea jaman kuna warembo
Jaman Jana nliona mtoto anatebea
Kidogo ni mwambie ngoja nkusaidie
Maana nliona hata hastahli kutembea
 
Mademu wazuri hawaishi duniani we huyo uliedata naye mtaani kwetu wapo kama kumi walio juu kwa urembo kuliko huyo
 
Heri ya mwaka mpya wadau!

Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?

Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? Cheki mguu huo, upaja, kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa.

Namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu? Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.

Ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone, New york teh teh teh teh, kweli Mungu fundi ujue......!

View attachment 314099
Unakuta chai imepoaaa
 
Wa kawaida tu...sema uzuri nao ni subjective.
Hayo matende......mmmmmmh
 
Extremely beautiful, lakin kwa haraka hakujaliwa akili ya ku appear executive (mavazi)
 
Mwanamke wa kawaida tu huyo , halafu wanawake wengi wakivaa mavazi ya nusu uchi huwa wanakuwa wazuri tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom