Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Si kweli kuwa ni wafupi, kuna baadhi yao wako hivyo....nilifanya kazi kule pale halmashauri kwa miaka 3 kabla sijahamishiwa Shinnyanga....Wamachinga ni wazuri asikuambie mtu.
siyo wote wengine wako kama gaa people. anaweza kuhamisha nyumba na wewe ukiwemo. jirani yangu ni gaa people wa kufa mtu. hata akikusonda kidole unaanguka chini na ukiweza kuamka unakuwa umesahau jina lako
 
Mbona wakawaida huyu akizaa tuuu huyu uzao mmoja hutamtamani! umeangalia vidole vya mguuni
 
angekuwa mtoto wangu ningemfanya pambo la sitting room
 
Heri ya mwaka mpya wadau!

Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?

Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? Cheki mguu huo, upaja, kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa.

Namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu? Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.

Ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone, New york teh teh teh teh, kweli Mungu fundi ujue......!

View attachment 314099
huyu mbona wa kawaida sana mkuu?
 
Kampa hayo unayoona phyically lakini yawezkana kuna mengine pia kanyimwa. Mungu hawezi kupa vyoote wewe mmoja halafu wengine wapewe nini?
 
kasoro nahisi atakuwa nayo, ni tabia nahisi anapenda makuu na ukifirisika tu anakukimbia
 
siyo wote wengine wako kama gaa people. anaweza kuhamisha nyumba na wewe ukiwemo. jirani yangu ni gaa people wa kufa mtu. hata akikusonda kidole unaanguka chini na ukiweza kuamka unakuwa umesahau jina lako
Hahaha daah nimejikuta tu nimecheka. Eti akikusonda unasahau jina
 
acha ujinga we papuchi uckute mbayaaa af huyo hata ukioa unazan ndo hatazeeka?
 
Huuu uzi ndo umeongoza kwa kuchangiwa mpka sasa wamechangia watu 119
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom