Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Man we km baba ako tumbil mama ngedere unategemea uzaliw mzur?!
 
Dah watu wanafaidi ila unakuta wanaume tusivyoridhika hapo mtu bado anaenda kucheza mechi za njee
 
Heri ya mwaka wadau!

Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?

Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? Cheki mguu huo, upaja, kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa.

Namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu? Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.

Ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone, New york teh teh teh teh, kweli Mungu fundi ujue......!

View attachment 314099
Naamini binadamu wote Wazuli inategemea kupima huo uzuri umetumia vigezo gani.

Unayemuona mbaya wewe kwa mwenzako mzuri.
Hii zamani tulikuwa tunaita "kipenda roho hula nyama mbichi"
 
Shagabalala karhamnuku tegetegesasakaborah hababababaa........
 
Sio mzuri ni mrembo,ila angekuwa mweusi angekuwa mtamuu ila kwa kuwa mweupe atakuwa wa baridiii
 
Hayo yote ni ubatili mtupu, tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na hayo mengine yote mtazidishiwa!
 
Mbona wa kawaida sana, alafu isitoshe yupo fat fat
 
Ni wa kawaida.usikute ananuka mdomo......................................................................................HAHAHHAHAHAHAHAHAHAAAAAA
 
Heri ya mwaka mpya wadau!

Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?

Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? Cheki mguu huo, upaja, kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa.

Namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu? Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.

Ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone, New york teh teh teh teh, kweli Mungu fundi ujue......!

View attachment 314099
Kasoro ipo mkuu ...anakunya kama sisi hapo sas mung ndo komesha . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom