MWANASIASA HURU
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 180
- 244
Mh! sioni jipya hapo. we differ in differences and similar in similarities!!
Hahaha mkuu hiyo ID yako MmmmmmNishamalizana nae ngoja nifue chupi yangu sasa ila mbona wa kawaida tu kama wengine
Huyu mbona ndo Lara I huyo,Heri ya mwaka mpya wadau!
Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? Au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?
Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? Cheki mguu huo, upaja, kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa.
Namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu? Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.
Ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone, New york teh teh teh teh, kweli Mungu fundi ujue......!
View attachment 314099
Hope nawe ni muafrika.Mashallah...wanawake wa kiafrika wazuri sana,curvy women are attractive......
siyo wote wengine wako kama gaa people. anaweza kuhamisha nyumba na wewe ukiwemo. jirani yangu ni gaa people wa kufa mtu. hata akikusonda kidole unaanguka chini na ukiweza kuamka unakuwa umesahau jina lako