balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,684
- 15,420
JIWEWaswahili hawakukosea pale waliposema "Duniani wawili wawili", yaani binadamu tunafanana.
Lakini ulishawahi kujiuliza kama unaweza kufanana na viumbe hai wengine tofauti na binadamu?? Mtizame huyo samaki kisha nambie anafanana na nani.
View attachment 970040