Am so sorry my love ...!!!

ticah mi nimesalute! sm people are just lucky, very lucky! unapendwa mpaka u feel it, the way i knw guys huwa hawaombi misamaha, YM's lady ana bahati! lolest!

hivi wanionaje dear? bahati inakuwa generated hapa, kitendo cha mie

kuongea nawewe tayari nyingine nimekupangusia. teh teh
 
umeonaeeeeehhhh nahisi neema imeanza kunishukia! naomba dua langu liwe la kweli, 'M' wangu ajue kuwa namzimika, yaani nampenda huyu kaka ticah, acha kabisa, yumo humuhumu jei efu, ila simwambii NG'O! Nimeapa! acha tu niendelee kuumia! atakuja tu kujua jinsi ambavyo NAMPENDA lolest, au ticah nikupm unifundishe kufake, ingenisaidia sana!
 
teh teh teh. kumbe na wewe muoga? kama hujui kufekisha huwezi kujifunza.

hio unazaliwa nayo. itabidi tu ufunguke ki utu uzima. teh teh teh.
 
usemayo ni kweli kabisa @Mr. Rocky napenda sana wanaume ambao wapo wawazi kama wewe.

Najijua udhaifu wangu mkuu Young_ Master na ilivyo ngumu kwamwanaume kukubali na kusema yes hapa nina kosa na kukubali kujishusha kuomba msamaha
Ndo maana nasema huyo aliyetumiwa hayo maombi ashukuru sana kumpata mtu mwanaume ambaye amekubali kujishusha na kuomba msamaha hata pale ambapo yeye ndio amefanya kosa na kutoshift blame kama ilivyo kawaida
 
umeonaeeeeehhhh nahisi neema imeanza kunishukia! naomba dua langu liwe la kweli, 'M' wangu ajue kuwa namzimika, yaani nampenda huyu kaka ticah, acha kabisa, yumo humuhumu jei efu, ila simwambii NG'O! Nimeapa! acha tu niendelee kuumia! atakuja tu kujua jinsi ambavyo NAMPENDA lolest, au ticah nikupm unifundishe kufake, ingenisaidia sana!

cacico nimeipenda hii
nikuulize hivi anajua kuwa unampenda hivyo au hajajua
na anajua thamani ya penzi lako au bado hajui
anatakiw akujua thamani ya upendo wake na namna unavyompenda
 
sijawahi kumtamkia, si kwamba naogopa ila moyo wangu bado haujaridhia kufanya, nafanya tafiti zangu kwa umakini, ili nisijeishia kufake nikaumia! NAMPENDA MNO, Nafuatilia mnop coments zake,kwa kifupi ofisi ikishtuka kuwa huwa nashinda jei efu, sijui hatma yangu, ila hii yote ni kwaajili yake! naogopa hata kuchungulia profile yake,! ukute mi naumia hivi, na ye moyo wake upo kwa mwingine. hiyo ndiyo INATESA ZAIDI!
 
Najijua udhaifu wangu mkuu Young_ Master na ilivyo ngumu kwamwanaume kukubali na kusema yes hapa nina kosa na kukubali kujishusha kuomba msamaha
Ndo maana nasema huyo aliyetumiwa hayo maombi ashukuru sana kumpata mtu mwanaume ambaye amekubali kujishusha na kuomba msamaha hata pale ambapo yeye ndio amefanya kosa na kutoshift blame kama ilivyo kawaida
Mr Rocky, blv me namuenvy kweli huyo dada!! natamani 'M' Wangu anijue then anipm, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nitadata kwa kihoro! kweli kupenda is very bad!
 
unafanya maksudi ili usamehe si ulishamehewa mara ya kwanza? af unarudia tena!kufanya kosa si kosa,kosa kurudia kosa
 
Najijua udhaifu wangu mkuu Young_ Master na ilivyo ngumu kwamwanaume kukubali na kusema yes hapa nina kosa na kukubali kujishusha kuomba msamaha
Ndo maana nasema huyo aliyetumiwa hayo maombi ashukuru sana kumpata mtu mwanaume ambaye amekubali kujishusha na kuomba msamaha hata pale ambapo yeye ndio amefanya kosa na kutoshift blame kama ilivyo kawaida

Wanaume wengi ndivyo tulivyo Mr Rocky but i thank God that he made far different from them.
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda YM,
Napo ndipo udhaifu wangu ulipo,
Yani anaponiambia am sorry hata kabla hajamaliza hua namkatisha na kesi inakua ishafutika mpaka moyo n lol!
Na kulidhihirisha hilo huwa namwambia come this way na kumpatia cha ukweli cha wakati huo na mambo yanakuwa byeeeeeeeee!!!
 
Mhhh ni wachache wenye kuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni mwao
Wengi wetu wanaume ni nadra kuwez akuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni
Ana kila sababu ya kufurahia maombo yako ya msamaha
kwenye line nakuunga mkono na miguu100%
 
U means nina kicrazy? You know my people Chit-Chart huwa make me furaha much. Steringi_Mdogo kaelezea jinsi anavyompenda manzi wake, nyie mnaleta Kinori oooh, maneno mazuri sana. Yakwako?? Ooo nimepata maneno ya kumumuambia mnene wangu yanakuhusu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom