Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Nimeipenda YM,
Napo ndipo udhaifu wangu ulipo,
Yani anaponiambia am sorry hata kabla hajamaliza hua namkatisha na kesi inakua ishafutika mpaka moyo n lol!
Na kulidhihirisha hilo huwa namwambia come this way na kumpatia cha ukweli cha wakati huo na mambo yanakuwa byeeeeeeeee!!!
U means nina kicrazy? You know my people Chit-Chart huwa make me furaha much. Steringi_Mdogo kaelezea jinsi anavyompenda manzi wake, nyie mnaleta Kinori oooh, maneno mazuri sana. Yakwako?? Ooo nimepata maneno ya kumumuambia mnene wangu yanakuhusu??
mhhhhhh! naona nadata!!! uwiiiiii mayb i was on a wrong direction choosing 'M' while YM loves me, YM do u mean, even 'goodmorning my luv.........' was for me??????? YM u mean u love me mo than anything??? bby then who i am to say NO???Mhmmmm!!! I wish my cacico was that way. I would have been the happiest man in the world. But all in all i do love her so much more than anything else in this world.
mhhhhhh! naona nadata!!! uwiiiiii mayb i was on a wrong direction choosing 'M' while YM loves me, YM do u mean, even 'goodmorning my luv.........' was for me??????? YM u mean u love me mo than anything??? bby then who i am to say NO???
UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII AM OFFICIALY YOURS!!! NATAMANI KUITANGAZIA JEI EFU THAT NOW I HAVE FOUND SOME ONE I WANT, i know u know kwamba i was soooooo much in love wit 'M', so help me to forget him completely, and make me WHOLE OF ME YOURS MY YM! I LUV U TOO!Yes my love. To be honest with you all of those threads was meant for you my love. Only you cacico
UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII AM OFFICIALY YOURS!!! NATAMANI KUITANGAZIA JEI EFU THAT NOW I HAVE FOUND SOME ONE I WANT, i know u know kwamba i was soooooo much in love wit 'M', so help me to forget him completely, and make me WHOLE OF ME YOURS MY YM! I LUV U TOO!
u sound soooooo sweet! any woman would wish to have such a man! will try my level best never to let u down, I LUV U MO!I will my love, I will. i will give you all the love and happiness that "M" couldnt give it to you. I will give you more than what you deserve.
sijawahi kumtamkia, si kwamba naogopa ila moyo wangu bado haujaridhia kufanya, nafanya tafiti zangu kwa umakini, ili nisijeishia kufake nikaumia! NAMPENDA MNO, Nafuatilia mnop coments zake,kwa kifupi ofisi ikishtuka kuwa huwa nashinda jei efu, sijui hatma yangu, ila hii yote ni kwaajili yake! naogopa hata kuchungulia profile yake,! ukute mi naumia hivi, na ye moyo wake upo kwa mwingine. hiyo ndiyo INATESA ZAIDI!
kwenye line nakuunga mkono na miguu100%
Nimeipenda YM,
Napo ndipo udhaifu wangu ulipo,
Yani anaponiambia am sorry hata kabla hajamaliza hua namkatisha na kesi inakua ishafutika mpaka moyo n lol!
Na kulidhihirisha hilo huwa namwambia come this way na kumpatia cha ukweli cha wakati huo na mambo yanakuwa byeeeeeeeee!!!
lol.....wifi Cantalisia bana.....huyo ni kaka Rejao sasa!!!!!!! Na wewe huwa unasema am sorry au unasubiri tu kakangu aseme kila siku?......mie ni mgumu haswa wa kutamka hayo maneno na ikitokea imenilazimu kuyatamka basi ujue hayajatoka moyoni lol.....natamka mdomoni tu ili kesi iishe...
lol.....wifi Cantalisia bana.....huyo ni kaka Rejao sasa!!!!!!! Na wewe huwa unasema am sorry au unasubiri tu kakangu aseme kila siku?......mie ni mgumu haswa wa kutamka hayo maneno na ikitokea imenilazimu kuyatamka basi ujue hayajatoka moyoni lol.....natamka mdomoni tu ili kesi iishe...
Hahahah Young_Master takutafuta unipe tuition aisee lol.
karibu sana. Inabidi nikupe tuition ya nguvu sweetlady maana huo ugonjwa ulio nao si wa mchezo.
Thanks Young_Master.....kumbe na wewe umeonae?
Hahahah hahha hahah!my darling wifi sweetlady awe nani mwingine zaidi ya Rejao wangu lo!lol.....wifi Cantalisia bana.....huyo ni kaka Rejao sasa!!!!!!! Na wewe huwa unasema am sorry au unasubiri tu kakangu aseme kila siku?......mie ni mgumu haswa wa kutamka hayo maneno na ikitokea imenilazimu kuyatamka basi ujue hayajatoka moyoni lol.....natamka mdomoni tu ili kesi iishe...
tuna ugomvi wifi?