mhh,unajua mimi sijawaelewa kabisa?labda unifafanulie kwanza
Eti anadai mie na jinsia mbili, kwa hiyo niwe smart nikakate moja mara mwanamke mara mwanamme.
Na mtu mwingine hapo kamkopi anamaanusha eti anamapepo yenye roho mbili mara anakuwa possesed na id 1, mara anakuwa possesed na id 2, kwa hiyo apelekwe akaombewe kwa mods ili hayo mapepo ya id mbili way-merge liwe pepo la id moja.
Duniani kuna mambo!
Unaongelea mahari? Mie najilia ki The Boss changu taratiibu, huoni siku hizi kama makeke kapunguza? Ni supu na kumsinga tu.
kongosho na kabakabana
wana tabia moja
mimi naona hawa ni wanaume.
kongosho na kabakabana
wana tabia moja
mimi naona hawa ni wanaume.
Kwa hiyo una ujumbe gani kwa The Boss na Excellent? Lol
Lol! Inabidi nikae karibu na wewe unipeleke kwa mganga wako. Kuna wakaka watano humu nataka siku nikiwafungukia wote kwa mpigo asichomoke hata mmoja,hehehe!
sasa hinvi niakuwa na wasiwasi na hawa wadada wa jf wanaojitongozesha
manyuki nayo hayachelewi kukutoa manundu. Lol.
Eti anadai mie na jinsia mbili, kwa hiyo niwe smart nikakate moja mara mwanamke mara mwanamme.
Na mtu mwingine hapo kamkopi anamaanusha eti anamapepo yenye roho mbili mara anakuwa possesed na id 1, mara anakuwa possesed na id 2, kwa hiyo apelekwe akaombewe kwa mods ili hayo mapepo ya id mbili way-merge liwe pepo la id moja.
Duniani kuna mambo!
kongosho na kabakabana
wana tabia moja
mimi naona hawa ni wanaume.
Eti mie na kabakabana ni Advanced Kamerunians. loh
Nimeelewa sasa kwa nini Kate na Prince Willian walichelewa kuoana, kuna wakaanga sumu humu ndani!!!!!
Enyi wakaanga sumu, kwa nini msianzishe kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuua wadudu waharibifu? Mngeingiza mihela hiha!
sasa hinvi niakuwa na wasiwasi na hawa wadada wa jf wanaojitongozesha
no Mamndenyi!kongosho na kabakabana
wana tabia moja
mimi naona hawa ni wanaume.
no Mamndenyi!
kabakabana is a woman tena atakuwa superwoman endapo akiwezeshwa.....kwahiyo kazi ni kwa excelent kumuwezesha kigori huyu afike anakopaota.
mashauzr classic on action kanga moko ndembe ndembe..
sasa hinvi niakuwa na wasiwasi na hawa wadada wa jf wanaojitongozesha