Am lonely. any friend thee

hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol
 
hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol
Hahahaaaaaa hata mimi nina furaha kwa Bagah kumpata mwenza labda atatulia sasa......
Na uhakikishe anatulia maana wewe ndo mama wa familia....sawa bi Nyakomba?
 
Hahahaaaaaa hata mimi nina furaha kwa Bagah kumpata mwenza labda atatulia sasa......
Na uhakikishe anatulia maana wewe ndo mama wa familia....sawa bi Nyakomba?

Hofu ondoa kbssssssss erick, ETI BAGAH si utatulia eee. Hebu sapoti hili erick apige makofi hahaha
 
Mie naona tuanze tu Mhusika tutampigia simu kuwa vikao vimeanza, asijepata presha akijikua anapigiwa cm siku ya harusi kuja kufungishwa ndoa lol
Hahahaaa asijali...ila usiotee sana sasa maana ukipotea na wewe utakuta tushamaliza vikao na km bi harusi hatakuwepo kidumu kitachukua nafasi ili mambo yasiharibike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom