Am lonely. any friend thee

Mmmmh hapa mie Ndoo kidumu akuuu

Bi Nyako ebu naomba utulize moyo wako...your my lotion,swtheart,dearheart...my carpet...my honey...my tea my sugar my breath...oh!..if you die...i die...tehe!..so ww ni zaidi ya NDOO...guess wat!
 
Hahahaaa so tuanze vikao ????

hebu tulia braza...usidhani hii ni ile ndoa ya Jg...kwangu hulambi kitu...unasubiri kutajirikia kwenye kamati za harusi za wenzio akati ww mwenyewe umefungia ndoa bomani...hamna kikao hapa...tulia tu na ukipata kadi shukuru...hata kama ww ni braza angu,mm ndo msemaji mkuu!...
 
Hahahaaa acha mzchezo aisee maaana km hutaki ndoa ifanyike jaribu uone....
Kwanza Bi Nyako alikuwa anakutania tu....
Hahahaaaaa usijidai maana itakula kwako sasa hivi
 
Bi Nyako ebu naomba utulize moyo wako...your my lotion,swtheart,dearheart...my carpet...my honey...my tea my sugar my breath...oh!..if you die...i die...tehe!..so ww ni zaidi ya NDOO...guess wat!

Hahahaaaa i guess am all above
 
hebu tulia braza...usidhani hii ni ile ndoa ya Jg...kwangu hulambi kitu...unasubiri kutajirikia kwenye kamati za harusi za wenzio akati ww mwenyewe umefungia ndoa bomani...hamna kikao hapa...tulia tu na ukipata kadi shukuru...hata kama ww ni braza angu,mm ndo msemaji mkuu!...

Heee BAGAHA, SHEM SI NDO ATAKUA MTUNZA HAZINA OR SORRY MTUNZA FEDHA WA VIKAO VYOTE.
 
hahahahah shem imani inaondoka taratibuuu jamani hebu nisaidie kuikamata hapo mlangoni lol
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom