Soli ya Kiatu
Member
- Mar 22, 2015
- 92
- 26
she is worthy mkuu , hana tatizo lolote very understanding, caring loving and cutie also ana kila sifa ndio maana sitaki kuendelea nae coz nitaumiza feelings zake mbele ya safari na kitakua kitu zaidiMkuu, mm naona n vyema utafakari tena na tena kisha utaona tu yupi anafaa. Maana hata km mmekaa miaka kumi, yawezekana hakufai...lkn ukakutana na mtu wa mwaka au miezi ukajikuta unaona thamani yake...hauna feelings naye lkn hebu tafakari maneno yake, mwenendo wake na mawazo yake kila unapokuwa naye kisha angalia is she worthy!!!?
Usiyakumbuke ya kitambo my mumuYaani kuna vitu huwa navishangaaga sana kwenye mahusiano mpaka nabaki nachekaga tuu kwa huzuni....aiseee!!!!
Nakupongeza kwa kugundua makosa yako, sasa mwombe msamaha sana na umwambie ukweli wotendio nafsi inanisuta sana aisee Mungu anisamehe[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Nakupongeza kwa kugundua makosa yako, sasa mwombe msamaha sana na umwambie ukweli wote
Mtusamehe sana, huwa sipendi kumliza msichana japo.....Inasikitisha sana kuona kuwa hawa ndio aina ya wapenzi tunaowatambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu. Unaubwaga moyo wako kwa mpita njia
Mkuu kama unatumia njia hiyo inaumiza sana, ufike wakati tuvae viatu vya wapenzi wetu kabla hatujafanya maamuzi ya kuwaumiza, binafsi sipendi machozi ya mwanamke ni balaa nzito mbele yako.Mpige kibuti tu. Mbona wao pia huwa wanatutosa bila kujiuliza hata mara mbili
mpe namba yangu maana mi nahitaji kupendwa tu. na ni chuo gani hichooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yalopita yamepitaa..Usiyakumbuke ya kitambo my mumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubuntuShusha window 7 weka ubuntu.
Unamuonea huruma ni mama yako huyo?
Hata mimi nimeshangaaUngemuoa hata huyo ambaye huna feelings naye!?
😡😡😡