Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Two deaths will not happen ( but) one is inevitable.

Mind you, Be careful before you do something that can not be changed.
 
Story kama yangu vile, ila make right decision usijejuta. Pia bora zimwi likujualo kuliko zimwi jipya
 
wakati unamuimbisha mpaka unamvua hukutushirikisha mkuu, sasa maliza mwenyewe hukoo
 
Wewe inaonekana unajiona most wanted sana na ulijua unapanga kukitokea hicho kidemu cha chuo ndio maana ukampa likizo huyo mwezi wako!

Yaani Mwanaume unasema eti ulimpa mda mpenzi wako ili ajirekebishe?
Mambo gani hayo ambayo yalishindikana mkiwa wote?

Karma is an ugly bitch
soma vizuri mkuu sijamtokea kafall mwenyewe

manzi wangu wangu nilimpa likizo sababu ya mambo mengi ambayo siwezi kuya disclose hapa
 
Kwema wana jf!

Najihisi mwenye makosa sana......sina amani. Iko hivi nimekua kwenye mahusiano na my girl for almost 3.5 years now, tumefanya mambo mengi sana kwenye relationship yetu na nimemsaidia vitu vingi pia. We used to have ups and downs in our relationship inshort tulipendana sana and we still love each other but last yr mwishoni kuna issue ilitokea ikasababisha mimi kama mimi nipunguze mapenzi kwake lakini nilimwambia each and everything nafanya vile kwa sababu gani(i gave her the room for improvements because she is the woman of my dream and we have a lot of commitments) though tulikua tunaendelea kuwasiliana kawaida lakini sio kivile.....we are living in different regions.

Katika kipindi cha improvements tulichopeana sadly ikatokea mwanamke mwingine kanipenda as a man tamaa kama kawaida zikaniingia( shetani mbaya sana ) tukaanza kudate mtoto wa watu kakolea haambiliki inshort humwambii kitu kuhusu mimi na yuko chuo anasoma bado .Kifupi she is addicted to me kashanitambulisha kwa rafiki zake wote na baadhi ya ndugu zake kua am his man though mimi sina plan nae yoyote kiukweli .



Kilichonileta hapa wadau nataka ushauri najua kuna nyani wazee humu washakwepa mishale mingi na washakutana na vingi

Mwanamke wangu wa kwanza kashajirekebisha na karudi moto pia ni mwanamke nayepanga kuoa kwa sababu anajulikana kwetu pia mimi na julikana kwao and pande zote hawajui kama tulikua na mis understanding btn us.....we have chemistry between us

Huyu mtoto wa chuo kiukweli sina feelings nae na sitaki kuchezea hisia zake na kumpotezea muda pia na bahati coz possible kuna vidume kibao anavitolea mbavuni kwa sababu yuko na mimi kwangu nahisi ni right time ya kumdrop off.....naanzaje sasa AM FEELING GUILTY FOR THIS.....nafsi inanisuta Lord forgive me
(Shetani mbaya sana )
Ulipoanaza kucheka na ahetani ndo tatzo linapoanzia hapo. Hio hatia usipoangalia ikakutafuna kama mimi iepuke haraka sana
 
Back
Top Bottom