Slimu uwaoe wote.toa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawili
Nimecheka hahahahaha
bad thing huyu tuko nae same region akipiga akinikosa straight anakuja homePunguza mawasiliano taratibu atagundua tu
Umejua kweli kumbana mbavu, safi sana.Ushauri ndio nimekwambia grow up and be a man. Sasa ungewaoa wote vipi wakati unasema huyo mwanafunzi haumfeel?
ndio kinachoniumiza kichwa pia namuonea huruma najiona mkosaji sanaHivi unadhani kila mtu anakubali kudropiwa kirahisi? Kuna ving'ang'anizi wa kiwango cha juu
kwa mtazamo wako!uyo demu wako wa 3.5 yrs na uyo wa chuo wote wanakuibia tu.
Angalia usije wewe ndio ukawa huyo mwanachuo [emoji23Umejua kweli kumbana mbavu, safi sana.

Huwa mnakosea sana kusema Shetani aliwapitia wakati ni kitu unapanga mwenyewe,acha hizo mzee baba.......huyo demu wa chuo mwambie tu ukweli kuwa unataka kuoa mchumba wako wa siku zote ataelewa japo kwa maumivuKwema wana jf!
Najihisi mwenye makosa sana......sina amani. Iko hivi nimekua kwenye mahusiano na my girl for almost 3.5 years now, tumefanya mambo mengi sana kwenye relationship yetu na nimemsaidia vitu vingi pia. We used to have ups and downs in our relationship inshort tulipendana sana and we still love each other but last yr mwishoni kuna issue ilitokea ikasababisha mimi kama mimi nipunguze mapenzi kwake lakini nilimwambia each and everything nafanya vile kwa sababu gani(i gave her the room for improvements because she is the woman of my dream and we have a lot of commitments) though tulikua tunaendelea kuwasiliana kawaida lakini sio kivile.....we are living in different regions.
Katika kipindi cha improvements tulichopeana sadly ikatokea mwanamke mwingine kanipenda as a man tamaa kama kawaida zikaniingia( shetani mbaya sana![]()
![]()
) tukaanza kudate mtoto wa watu kakolea haambiliki inshort humwambii kitu kuhusu mimi na yuko chuo anasoma bado .Kifupi she is addicted to me kashanitambulisha kwa rafiki zake wote na baadhi ya ndugu zake kua am his man though mimi sina plan nae yoyote kiukweli .
Kilichonileta hapa wadau nataka ushauri najua kuna nyani wazee humu![]()
![]()
washakwepa mishale mingi na washakutana na vingi
![]()
![]()
![]()
Mwanamke wangu wa kwanza kashajirekebisha na karudi moto pia ni mwanamke nayepanga kuoa kwa sababu anajulikana kwetu pia mimi na julikana kwao and pande zote hawajui kama tulikua na mis understanding btn us.....we have chemistry between us
Huyu mtoto wa chuo kiukweli sina feelings nae na sitaki kuchezea hisia zake na kumpotezea muda pia na bahati coz possible kuna vidume kibao anavitolea mbavuni kwa sababu yuko na mimi kwangu nahisi ni right time ya kumdrop off.....naanzaje sasa AM FEELING GUILTY FOR THIS.....nafsi inanisuta Lord forgive me![]()
Aaahh...umenikumbusha wimbo wa 'mpita njia" kuna watu Mungu anawaona ujue,. hivi kama humpendi mtu kwann unaruhusu kuwa nae??mm nilishashindwagwa huu unafiki sikupendi nakuchana laiv masuala ya ngoja kesho keshokutwa niliyaacha enzi za mwalimu...mambo mengine ni ushamba tuu.Inasikitisha sana kuona kuwa hawa ndio aina ya wapenzi tunaowatambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu. Unaubwaga moyo wako kwa mpita njia
Angalia usije wewe ndio ukawa huyo mwanachuo [emoji23
hapa unatoa kauli za kishujaa ila utaumia peke yako![]()
![]()
![]()
![]()




Wavulana hao, usisikitike sana.Aiseee
hahaha
You are funny boy.