wanawake wa wivu sana sidhani kama ataelewa aseeeEndelea nao wote mkuu,kwanini umuache?ni kosa kubwa saana kutegemea mwanamke mmoja!
Mwekee mazingira ya kumfanya mchepuko anayejihisi yupo njia kuu!
kweli mzeethe truth will set you and her free japo kuna price lazima ULIPE
badili dini uoe wote wawil mkuutoa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawili
Usioe mtu kwa kumhurumia,muoe mtu kwa kumpenda• kijana if you do,do with a right heart! Utafeli kama utazogoa.toa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawili
Mungu aturehemu tuu kwa kweli.shangaa wewe best..
i remember one story ililetwa humu, a guy dated with a lady for 5 good years na madai walikua wanapendana sana, imetokea siku tu, mwanamke hamtaki jamaa sababu mwanamke hapendi kurekebishwa anapokosea, imagine all the time wasted na walikua mbion kufunga ndoa , guess what, a month tu after breakup mwanamke kapata mimba ya someone else ...hahaha aisee
ila vitu vingine sio akili za kawaida kuna na nguvu za giza hua zinafanyika,
sawauyo demu wako wa 3.5 yrs na uyo wa chuo wote wanakuibia tu.
mwanaume wewe usipende vitu rahisi rahisiNipe namba yake PM... hatakutafuta tena
mzee wa kathabi vipi yule mzee bado yuko hapo mbugani....namuonea huruma sababu hajanikosea chochoteSasa unashindwa nini kumueleza huyo wa chuo kuwa humtaki??
Sina bi mkubwa mzee alishatangulia mbele za hakiHiyo kazi mpe bi mkubwa. Dakika 5 nyingi
Kathabi na Wamwelu bado wapo mkuu.mzee wa kathabi vipi yule mzee bado yuko hapo mbugani....namuonea huruma sababu hajanikosea chochote
hahaha tumewajengea lami hapo sitalike kwenye boko wengi hadi mpandaKathabi na Wamwelu bado wapo mkuu.
Tumia lugha ya kidiplomasia mkuu.
sitaki kuendelea kumpotezea mudaHutaki kumpotezea muda wakati ushampotezea zaidi ya huo muda??
Imekaa vema ila what if huyo sijui chemistry yupo kwenye special mission baada ya kugundua whole gameMwambie hii story uliyotueleza hapa, mwenyewe atajiongeza. Itamuuma lakini mwisho wa siku maisha yataendelea. Ila na wewe jiandae kulipa machozi atakayolia maana ulijua tangu mwanzo kuwa humpendi ila unapita tu kwake!