Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Kwema wana JF,

Najihisi mwenye makosa sana sina amani.

Iko hivi nimekua kwenye mahusiano na my girl for almost 3.5 years now, tumefanya mambo mengi sana kwenye relationship yetu na nimemsaidia vitu vingi pia.

We used to have ups and downs in our relationship inshort tulipendana sana and we still love each other but last year mwishoni kuna issue ilitokea ikasababisha mimi kama mimi nipunguze mapenzi kwake lakini nilimwambia each and everything nafanya vile kwa sababu gani(i gave her the room for improvements because she is the woman of my dream and we have a lot of commitments) though tulikua tunaendelea kuwasiliana kawaida lakini sio kivile, we are living in different regions.

Katika kipindi cha improvements tulichopeana sadly ikatokea mwanamke mwingine kanipenda as a man tamaa kama kawaida zikaniingia shetani mbaya sana tukaanza kudate mtoto wa watu kakolea haambiliki inshort humwambii kitu kuhusu mimi na yuko chuo anasoma bado. Kifupi she is addicted to me kashanitambulisha kwa rafiki zake wote na baadhi ya ndugu zake kua am his man though mimi sina plan nae yoyote kiukweli.

Kilichonileta hapa wadau nataka ushauri najua kuna nyani wazee humu washakwepa mishale mingi na washakutana na vingi.

Mwanamke wangu wa kwanza kashajirekebisha na karudi moto pia ni mwanamke nayepanga kuoa kwa sababu anajulikana kwetu pia mimi na julikana kwao and pande zote hawajui kama tulikua na mis understanding btn us, we have chemistry between us.

Huyu mtoto wa chuo kiukweli sina feelings nae na sitaki kuchezea hisia zake na kumpotezea muda pia na bahati coz possible kuna vidume kibao anavitolea mbavuni kwa sababu yuko na mimi kwangu nahisi ni right time ya kumdrop off.

Naanzaje sasa AM FEELING GUILTY FOR THIS, nafsi inanisuta Lord forgive me.
Nitumie namba yake DM kaka nitakusaidia hili ni rahisi
 
toa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawili
Hahahahah hii kauli bana umenikumbusha kaka mmoja hv
Ye mtu wa round moja tu hoiii tena ya dk 2 afu anakuja na statement km hii... nlimchekiii nkasema acha nikustahii nkikwambia ukweli kuwa we ni goigoi unaweza kufa bure hapa..walau alikua anacompensate kwa kutoa pesa ye pesa ukigusa tuu waaa
 
Hahahahah hii kauli bana umenikumbusha kaka mmoja hv
Ye mtu wa round moja tu hoiii tena ya dk 2 afu anakuja na statement km hii... nlimchekiii nkasema acha nikustahii nkikwambia ukweli kuwa we ni goigoi unaweza kufa bure hapa..walau alikua anacompensate kwa kutoa pesa ye pesa ukigusa tuu waaa
so umemdanga vya kutosha sio
 
Back
Top Bottom