Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Mkuu, mm naona n vyema utafakari tena na tena kisha utaona tu yupi anafaa. Maana hata km mmekaa miaka kumi, yawezekana hakufai...lkn ukakutana na mtu wa mwaka au miezi ukajikuta unaona thamani yake...hauna feelings naye lkn hebu tafakari maneno yake, mwenendo wake na mawazo yake kila unapokuwa naye kisha angalia is she worthy!!!?
 
Mkuu, mm naona n vyema utafakari tena na tena kisha utaona tu yupi anafaa. Maana hata km mmekaa miaka kumi, yawezekana hakufai...lkn ukakutana na mtu wa mwaka au miezi ukajikuta unaona thamani yake...hauna feelings naye lkn hebu tafakari maneno yake, mwenendo wake na mawazo yake kila unapokuwa naye kisha angalia is she worthy!!!?
she is worthy mkuu , hana tatizo lolote very understanding, caring loving and cutie also ana kila sifa ndio maana sitaki kuendelea nae coz nitaumiza feelings zake mbele ya safari na kitakua kitu zaidi
 
Tatizo umechanganya asali na kinyesi lazima ikuwie ngumu kuamua na ukiamua kuirudia asali sharti ufute kinyesi na mikono.
Mweke chini mwanachuo, mpe ukweli wote, mshukuru kwa kampani yake, mkatie mkate mnono na show tamu ya mwisho.
Muendelee na madame wako
 
Inasikitisha sana kuona kuwa hawa ndio aina ya wapenzi tunaowatambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu. Unaubwaga moyo wako kwa mpita njia
Mtusamehe sana, huwa sipendi kumliza msichana japo.....
 
Tell her, mwambie.... itamuuma hadi hataweza kuendelea mbele kwa kipindi flani...lakini atajua ukweli, tell her.... Mwambie....Hali ilio kukuta inatokeaga... usindelee kumpotezea muda. Atapata mwingine..... vizuri umesema humpendi yeye,, mana ungesema unampenda ila unaulie anza nae that would have been another story...mwambie ukweli ulikua kwenye mahusiano na unahisi bado ujaweza kuendelea mbele even after being with her bado unataka kurudi ulipokua.... she will not understand ila utakua umefanya nafasi yako... Atakua kajua.
 
Mpige kibuti tu. Mbona wao pia huwa wanatutosa bila kujiuliza hata mara mbili
Mkuu kama unatumia njia hiyo inaumiza sana, ufike wakati tuvae viatu vya wapenzi wetu kabla hatujafanya maamuzi ya kuwaumiza, binafsi sipendi machozi ya mwanamke ni balaa nzito mbele yako.
Ni bora kutafta namna bora ya kuachana naye
 
mpe namba yangu maana mi nahitaji kupendwa tu. na ni chuo gani hichooo
 
mpe namba yangu maana mi nahitaji kupendwa tu. na ni chuo gani hichooo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mwambie ukweli kuwa nilikudanganya ila kwa kifupi nina mtu ambaye natarajia kumuuoa. Ila kuwa makin na namna ya kubadilisha huo ukweli
 
Zungumza nae vizuri huyo mwanachuo atakuelewa tu..ataumia ila maisha lazima yasonge..ila usirudie ako kamchezo kako
 
Pambana tuu mbona rahisi. Unamwambia ukweli though itauma ila hatakuwa na namna
 
fanya hiii tafuta zawadi kubwa kabisa ambayoo ita mfurahisha mtoe out kisha mwambie kuwa nina jambo nataka nikuambie na sio zuri kabisa na hiii nina kuambia mapema kwasababu unaonyesha sana upendo kwangu na sitaki kuku umiza, halfu potezea siku nyingine mpe historia yako na mkasa ulio kukuta juu ya huyo mpenzi wako mwingine najua ata maindi ila atakuwa haamini kisha siku nyingine muonyeshe pichaa za huyoo manzi na mwambie kuwa wazazi wako wana mjua vizuri na kuwa huwa anaendaga home kila mara (i mean huyo wa moyo mpenzi A) kisha mwambie naomba tuendele kama marafiki tu na umpe uhuru wa kutafuta mwanaume mwingine we usisikilize hayoo maneno yake sijui oo sijui nini. na usisitizie kuwa tutakuwa pamoja ili public isijue ili neno limkae akilini hata akiwa ana kupa papuchi sawa ila ajue tu. na kwenye simu yako weka wallpaper ya demu A na usiitoe kama uko na smart. na mda mwingine akikuhitaji mwambie niko bize una mpotezea kama week hivi then ukiona hanuna mtafutie kazawadi kadogo unampa ila usi mkiss maana najua wabongo wanavyo kuwa wahindi unaka tena unakuwa una mpotezea taratibu na upunguze kwenda nae kula luch
 
Back
Top Bottom