Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Alshabab Wafungua Akaunti nyingine Twitter.

Status
Not open for further replies.
Tatizo lako kichwa chako kinahitaji mwekezaji kwa hiyo huwezi kuelwa siasa za ulimwengu, au sijuwi unakusumbua ufree mason?
 
Tatizo lako kichwa chako kinahitaji mwekezaji huwezi kujuwa siasa za ulimwengu ,au sijuwi unakusumbua ufreemason
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa lwakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu
Lakini mbona kila tatizo duniani tunataka kusingiza Marekani. Ndio maana MaCain alisema anashangaa watu wanalalamika marekani ni mbaya na shetani lakini watu wanajazana kwenye balozi zake wanataka viza za kwenda marekani. Wasomali hawakimbilii Iran au Saudi wanakwenda marekani uingereza au canada.
 
Cha Msingi ni Maombi.

Tuzidi kuiombea kenya Naamini wanapita katika wakati Mgumu sana.

Mungu awaonekanie.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kila jambo linaletelezwa na 7bu msihusishe kikundi cha wachache na uislam nivituviwili tofauti na hiyo alshabab ni kikosi cha vijana wanaotumiwa kidanganyifu kuwa wanatetea dini kumbe wanapotoshwa nakuitukanisha diniyao kamavile wale maaskofu wakianglikana waliofungishana ndoa za wanaume kwa wanaume na kuzihalalisha ndoa hizo kwa waumini wao mpaka leo hii tunashuhudia huko marekani ndoa za jinsia moja zikifungishwa makanisani inamaana Ukristo ni unaruhusu ushoga na usagaji au wenzetu mnapenda ngono kiasi wanawake hawawatoshelezi wanaume mpaka viongozi wa dini wahalalishe uchafu wa ushoga na usagaji lkn mimi kama mimiMuislam naamini ukristo hauruhusu uchafu kama huo bali niwashenzi wachache wapenda ngono zakuvuka mipaka ndio walioliingiza kwenye ukristo ioi kuwarubuni wenzao wakubali uchafuwao japokuwa hatukuona mkristo yeyote kuandamana kupinga uchafu kama huo anyway the same kwa waislam sio wote wanaounga ujinga wa watu wachache kwani uislam ni dini ya AMANI na uvumilivu yaani subira ndio maana ukakuta tanzania inasifika kwa amani pamoja shida na mauonevu wanaofanyiwa waislam na wasiowaislam huonivurugu wala fujo na tunaamini hakuna lenye mwanzo likakosamwisho kwahiyo msikashifu uislam ikashifuni alshabab hakuna aya ktk kur an kuua asie na haki ya kuuliwa .
 
Kweli kabisa mkuu
 
Attachments

  • 1379884584103.jpg
    1379884584103.jpg
    12.5 KB · Views: 339
Ikifika mahali tuchapane itabiditutachapana tu maana ukiona kila mbinu zinatumika kukujengea chuki na bifu lisilokuhusu jibu lake nini? Ni kujenga heshma yako kama vile watakavyo, wao ni kuona ubaya wako wape ubaya wako wautambue vizuri.
 
Lakini mbona kila tatizo duniani tunataka kusingiza Marekani. Ndio maana MaCain alisema anashangaa watu wanalalamika marekani ni mbaya na shetani lakini watu wanajazana kwenye balozi zake wanataka viza za kwenda marekani. Wasomali hawakimbilii Iran au Saudi wanakwenda marekani uingereza au canada.

Huko ndiko mafunzo yabatoka
 
Cha Msingi ni Maombi.

Tuzidi kuiombea kenya Naamini wanapita katika wakati Mgumu sana.

Mungu awaonekanie.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Usisahau kuiombea na somalia kwa madhila wanayopata kutoka kwa ethiopia na kenya

Majeshi ya kenya yamebaka na kuua wSomali bila huruma kuliko majeshi yyt ya ammisom
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

kaka acha uwongo hayo maneno ya kwenye kahawa haaaaaa haaaa so kwa uelewa wako anamtumia shekh PONDA mmmmhhhhhh MMAREKANI NOMA.....
 
[video=youtube_share;yfhc32Pca9s]http://youtu.be/yfhc32Pca9s[/video]

Published on May 15, 2013
Dr. Zakir Naik said that historic records proved that a large number of terrorist acts in the 20th and 21st century were committed by non-Muslims. The so-called global phenomenon of "Islamic terrorism/militant Islam" was a creation of the western governments and their media outlets, he said.

"Politics lies at the heart of labeling Muslims across the globe as perpetrators of terror acts, " he added.

Dr. Zakir, who is one of the Muslim world's leading and most prolific speakers, quoted from the scriptures of other religions and proved that associating killing with Islam is incorrect.

"It says in the Book of Numbers that whoever worships other than God should be killed, " he said, referring to the Bible, yet such militant verses were conveniently ignored by the Western media.

"In every religion there are black sheep and the media keep putting these people forward. This is a media conspiracy and a way of pushing people away from Islam." he added.
Dr. Zakir Naik said, "No religion encourages terrorist acts or violence. The word 'Islam' itself means 'Peace, obtained by submitting yourself to the Almighty'. Anyone, be it Muslim or non-Muslim, who kills an innocent Muslim or a non-Muslim, kills the entire humanity. However, Islam goes a step further to say that if one saves innocent lives, the whole of humanity is saved. Injustice is the root cause of terrorism..."

He continued, "Palestinians are called terrorists just because they are fighting to get their land back." By citing examples of LTTE (in Sri Lanka), IRA (in UK), Lord's Salvation Army, which trains the young children to conduct terrorist attacks, and many other non-Muslim terrorist outfits he further said that, the lives claimed by these outfits are more than the ones by the Muslim terrorists.

Dr. Zakir said Naxalites/Maoists across India and the LTTE in Sri Lanka were non- Muslim terror organisations, which had had developed pan regional bases beyond national boundaries. Other such non-Muslim terror outfits included the United Liberation Front of Asom, National Democratic Front of Bodoland and All Tripura Tiger Force in the Northeast, Naik noted.

Drawing on international examples, Dr. Zakir said that the Japanese Red Army, Lord's Salvation Army and the ETA in Spain were also non-Islamic in character and composition.

"So nothing is more removed from truth as to suggest that Muslims have monopolized terrorism, " said Dr. Naik. He said the Irish Republican Army, which was considered to be terrorist group, has a history of 100 years of violence against the British, but the British government doesn't seem to be scared about them as they are about radical Islamic groups.

Besides, he also mentioned, "Even a single killing by a Muslim is condemned by Islam, whatsoever the reasons."

On the Media, Judiciary and Politicians

Dr. Zakir appreciated the Indian media for being unbiased and upright while reporting the communal riots. He further expressed that it is the plot of the Western media to destroy Muslims.

He also said that the media controlled by the political authorities is biased and does not portray the truth or reality. He stated, "Islam does not justify using wrong means to reach the right goals. People should not take the law in their hands."

"India has seen maximum number of communal riots in recent years. Politicians have been using the 'Divide and Rule Policy' to secure their vote banks. However, the masses should not get instigated by them. Terrorism is a monopoly of politicians. People, regardless of their religion, wish to live harmonious lives, but politicians feed the feeling of hatred amongst them, " he opined while speaking about the role of politicians in the society today.
We should learn how to turn the tables and convey the real meaning, " said Dr. Zakir, while calling on Muslims to dispel the media's vilifying of Muslims and the importance of having Muslim television channels and newspapers.

Took place in Mumbai in front of a jam packed crowd, at the Shanmukhananda auditorium on 11th Sept 2006.

I love u so much for this
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

Kwenye Uislamu hakuna kitu kama hicho.
Watu wanaofanya mauaji kwa kisingizio cha uislamu, wamefilisika kimawazo.

......Sorry..!!!
 
Tatizo wanapigana kwa kofia ya Dini!

Hivi kuua watu na watoto wasio na hatia ni Jihad kweli?
 
Hivi dini ya islam inaruhusu kweli ugaidi huu naomba muislam mwenye uelewa mkubwa anielimisha

kiongozi wa dini ya kiisilam wa kenya ameongea na media na kupinga huu upuuzi wa hawa waoga wanaoua raiya kwa jina la dini.
 
Naomba wana jf mutambuwe kuwa anayoipiga kenya sio al shababi bali ni mmarecani sema anachokitumia mmarican ni kuidanganya dunia kuwa usilamu ni mbaya na haufai ni dini ya kupenda kuwa watu ,kumbe sio kabisa ni propaganda tu,,onakule iraq,afughanistani, nigeria anasingizia boko haram kumbe mwenyewe mmarikani ni mbaya sanaa tena hafai,hapa tz ameanza kutengeneza tatizo kati ya serikali na wasilamu ,serikali haitaki kusikiliza madai ya wasilamu ,inachokifanya ni kuwakandamiza tu sasa wakichoka ndipo mmaricani anapoingia kupambana na hao anao waita magaidi,ilaweze kuchukuwa gesi,dhahabu,mafuta kiulaini,mmarecani hana adui wa kudumu wala hana rafiki wa kudumu

Kwa hiyo unataka kutusadikisha kuwa uislam ni silaha ya marekani ya kufanyia wizi na mauaji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom