Ally Hapi awa mbeba magunia

Ally Hapi awa mbeba magunia

Anaigiza tu huyo jamaa ake jamaa ya mgaso atarudi kwenye game.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Mbona anachofanya ndio sahihi? Zingatia huo mzigo ni wake na anausimamia mwenyewe na jioni anaangalia ankara zilivyokaa kwenye akaunti yake mwenyewe..... Kitu murua kabisa!.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Huyu anafanya kazi kwenye shamba lake, unataka iweje wewe?, huna maana yoyote ndg yangu, sijakuelewa, maana hata mimi naweza kufanya hivo
 
Inaonesha una uelewa mdogo sana kwenye kutafuta maisha. Mwalimu Nyerere pamoja na kuwa rais wa nchi bado alienda shambani.
Kuwa kiongozi hakumfanyi mtu kubweteka na kuacha kufanya shughuli binafsi za kumuingizia kipato! Hata kama shughuli hizo zinatumia nguvu nyingi!

Hapo hakuna tatizo kabisa. Hata kama anaweza kuchoma mkaa yeye achome tu kuliko kuwa kama wengine wanaolalamikia serikali baada ya kustaafu au kushushwa vyeo!
Nyerere alenda Shamba kwa Kutaka SIO HAPI baada ya KUBWAGA kiherehere cha kunipendekeza kwa JINI Mwendazake KIMEMPONZA
 
Bora ajilimie zake huenda akatusua huko zaidi kuliko kuwa chawa.
 
Kama anafanya kilimo cha umwagiliaji kitamlipa sana. Mwaka 2025 agombee ubunge kisha apewe uwaziri wa kilimo ameonyesha mfano kwa vitendo na si wale viongozi wengine wanaosema vijana mkajiajiri kwenye kilimo wakati wao wako ofisini kwenye kiyoyozi.
 
Yaani mtu yupo kwenye mishe zake anaonekana kafulia 😄
Ndio maana vijana wa sahv unakuta ana mishe inamuingizia 30k kwa siku anasema hana kazi akiamini kazi ya kuajiriwa yenye 300k kwa mwezi ndio kazi
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Najivunia kijana mchapa kazi.

Maisha siyo kwenye uongozi peke yake
 
Kwani mleta mada,wewe ulitaka Hapi awe anafanya shughuli gani kwa sasa?

Unataka kumpangia jinsi ya kuishi? Angalia maisha yako jomba usipoteze muda kwa kufuatilia maisha ya wengine,utachelewa.
 
Inaonesha una uelewa mdogo sana kwenye kutafuta maisha. Mwalimu Nyerere pamoja na kuwa rais wa nchi bado alienda shambani.
Kuwa kiongozi hakumfanyi mtu kubweteka na kuacha kufanya shughuli binafsi za kumuingizia kipato! Hata kama shughuli hizo zinatumia nguvu nyingi!

Hapo hakuna tatizo kabisa. Hata kama anaweza kuchoma mkaa yeye achome tu kuliko kuwa kama wengine wanaolalamikia serikali baada ya kustaafu au kushushwa vyeo!

Unajua sijui hawa vijana wa siku hizi wakoje. Sasa wanataka awe kama bwana mmoja aliyekuwa RC Morogoro, alivyotumbuliwa na JPM akaanza kulia lia. Eti nimekosa mimi, nimekosa mimi nisamehe. Mtu huyo ni phd holder.
 
Back
Top Bottom