Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,082
SawaSababu hua wana mikataba,So ukimfukuza kocha kabla ya mkataba wake kuisha ni lazima umlipe.
SawaSababu hua wana mikataba,So ukimfukuza kocha kabla ya mkataba wake kuisha ni lazima umlipe.
Nilimsikia mwigulu kwamba akilalama kweny mapendekezo yake kweny wizara ya fedha kwamba Kuna wale wakurugenzi wakuu waliofukuzwa na kutumbuliwa ila still wanalipwa mshahara kama mkurugenzi aliomba hilo swala litolewe kuokoa fedha ,basi ndo nikafikiria na RC na DC wanakuwa bado wanalipwa wakitumbuliwa.Sababu hua wana mikataba,So ukimfukuza kocha kabla ya mkataba wake kuisha ni lazima umlipe.
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Fursa ni pesa yako popote Duniani isipokuwa mbinguni tuIringa ni ya Watu wote Kule Moshi hupati fursa
Nani kakuambia kaanguka kwani we ni mgeni wa ccm,Hapi yupo likizo usishangae kesho akalamba teuzi,Unategemea nini kama huyo mtu anapokuwa na madaraka anawaona wale walioko chini kama hawana maana?!!ndio matakeo yake anapoanguka lazima wafurahie kwani wangapi wanaanguka lakini watu hawawasemi?
Watu mnapenda kuona Anguko la watu msio wapenda
Ange be have vizuri alipokuwa na cheo sidhani kama kuna MTU angemnanga tatizo viongozi vijana wakipata vyeo wanafikiri wao tu ndio wanaweza kuongoza.Watu mnapenda kuona Anguko la watu msio wapenda
Unadhani hilo shamba kaandaa ndani ya mwezi tu?Nyerere alenda Shamba kwa Kutaka SIO HAPI baada ya KUBWAGA kiherehere cha kunipendekeza kwa JINI Mwendazake KIMEMPONZA
Sure well said my homie..kwa maoni yangu Happi ameinuka.he is his own boss.
..halazimiki tena kutukana watu, na kufanya ubaya, kwa niaba ya wakubwa zake.
..awaombe msamaha aliowaonea na kuwadhalilisha wakati akiwa RC, na afungue ukurasa mpya ktk maisha yake.
Wachaga hawatoi ardhi kirahisi.Iringa ni ya Watu wote Kule Moshi hupati fursa
Iringa ni ya Watu wote Kule Moshi hupati fur
Watanzania wengi akili zao ni chenga sana. Fanyeni kazi achaeni maneno. Mtu amejiajiri anapiga hela zake mnamuonea nongwa..Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Huyu alikuwa ni mojawapo ya viongozi wajinga na wa hovyo. Hivyo vipicha anavipiga ili aonewe huruma arudishwe madarakani. Kitendo cha kuwatukana akina Mzee Warioba kilikuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu.Yuko vizuri ni mfano wa kuigwa sema alifanyiwa mizengwe tu.