Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,913
- 6,525
nayatamani sana maisha ya aina hii sema sijapata fursa tu
Ni raha sana kuona mavuno ya jasho lako. Sio lazima uwe na eneo kubwa, hata kama uko nyumba ya kupanga panda hata pilipili, mboga mboga kwenye makopo, ndoo, beseni nk