Ally Aurora afariki dunia

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nimepata taarifa (za uhakika) kuwa Mmiliki wa kampuni ya Aurora Security bwana Ally Suleyman amefariki dunia.

Alonipa habar hizi ni ndugu yake wa karibu....
 
habari nilizozipata hivi punde ni kwamba yule mmiliki wa AURORA SECURITY na promota wa mapambano ya ngumi hapa nchini ALLY SULEIMAN AURORA amefariki dunia..R.I.P
 
Sitaki kuamini habari mbaya kuhusu uhai wa ally aurola zilizo zagaa mitaani.
Mwenye habari kamili kuhusu Ally atujuze. inasikitisha sana.
 
Innalilah Wainailayhi Rajiun.


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
habari nilizozipata hivi punde ni kwamba yule mmiliki wa AURORA SECURITY na promota wa mapambano ya ngumi hapa nchini ALLY SULEIMAN AURORA amefariki dunia..R.I.P
Hivi huyu ndo mmiliki wa kampuni ya kukodisha magari ya Aurora pia?
 
mchezo wa ngumi utadumaa tena coz yeye ndo alikuwa kauinua.
r.i.p ally.
 
matapeli wa dhahabu, copper na nyumba wameondokewa na mwenzao muhimu. Kila mtu atarudi mavumbini.
 
Watu wanao mdai...wakijipanga wanafika Kibaha..dhurumati

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom