Ally Aurora afariki dunia

Duh Kuna Kipindi na mii nilikuwa namdai alinilipa japo kwa Mbinde after wiki Tatu... Sina Deni nae Mwenyezi Mungu atusamehe Wanadamu katika njia za kutafuta maisha....
 
Duh Kuna Kipindi na mii nilikuwa namdai alinilipa japo kwa Mbinde after wiki Tatu... Sina Deni nae Mwenyezi Mungu atusamehe Wanadamu katika njia za kutafuta maisha....

Naam ndugu yangu, tumuombee Allah amsamehe, vile unavoishi ndo vile utavyokufa,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Naonaga sana magari coaster za Aurora za kukodi pia pale kinondoni karibu na bar ya macheni(sio magomeni mapipa) kuna ofisi ya aurora security.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom