Mkuu Mkandara,Guys, I think the man is right!
Mwanakijiji kumbukeni sana nilipiga sana makelele kuhusu matumizi ya neno RUSHWA na tukalitungia sheria bila kufahamu maana na mapana ya neno hilo. Muswada ulisukumwa haraka haraka ukapitishwa ukiwa umeacha mabo mengi sana muhimu. Nakumbuka hata wewe ktk mada mojawapo uliwahi kusema kuwa sii lazima tunapozungumzia Rushwa basi iwe, lazima mtu kachukua/katoa hongo hali tumesahau kuwa CCM waliukubali muswada huu kwa sababu haukuwagusa wao kama viongozi wanao Hujumu uchumi wakitumia wadhifa wao na Azimio la Zanzibar linalowaruhusu kufanya Biashara.
Sasa wataweza vipi kufanya biashara hizo ikiwa hawana ruksa ya kutumia nafasi zao kupata connection?...How will it work halikutazamwa hili..
As a fact hata Rostam Aziz hana makosa ikiwa Richmond ni kampuni yake na hatuwezi mshtaki kwa sababu anakuwa protected na Azimio la Arusha pili, Richmond ni incorporated yaani entity inayojiendesha kama kampuni na tatu hakupokea wala kutoa rushwa kupata Tender hiyo..
Mkorogo wote wa sheria tumefungashiwa sisi na ndio maana Taasisi hiyo ya Dr. Hosea imeitwa - Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Kwa ufinyu wake haiweki hujuma za uchumi wa taifa letu..Deal la Richmond halina ushahidi wowote wa Rushwa lutumika.
Kutumia madaraka yako kupata Tender ya serikali sio kosa wala Rushwa hata kidogo na sheria za Azimio zinawa protect zaidi...
Ni mawazo yangu mnaweza nielemisha zaidi kama nimekosea.
Zomba unaweza kushangaa kuona JK anamwacha anaenelea kupeta mkuu .Wacha tuone maana Pinda ni serious na nadhai hataacha kumpa Rais ushauri wa uhakika .Hope Hosea will be ditched
Adam Lusekelo said:
Daily News; Tuesday,February 12, 2008 @16:02
OKAY, everyone knew that we, I mean the people of Bongo, were being had in this Richmond rip-off. Chairman Harry Mwakyembe and his Parliamentary sniffing Committee had a credible report on the thieving.
Though those involved tried to walk off in a huff after the names were named there are still questions to be answered - where is the bloody money? Just who has been siphoning off the money? You just sign and absorb 154 million a day, come Sunday. Come Idd, come Maulid, came Chrismas and Easter. Every day of year for not delivering power to the national grid!
Who signed the continuation of the deal not to supply power from one year to two while six months into the deal all the dams were full? That is plainly criminal! They surely have been siphoning off and signing for the money without delivering any power.
Who are these monsters? You simply cannot sign off such amounts, unless you are part of the set-up. Former premier Ted Lowassa's resignation should not be seen as the end of the show, but the beginning .
So let's begin from the beginning. Who allowed a fictitious company to be paid millions of dollars? We in the streets find it very hard to get even a few pennies as loans. The banks will tell you to go fetch your grandmother's grandmother if you want a 500,000/- loan!
Definitely, this is a crime by the Tanzanian mafiosi. To do that you have to have a certain confidence, nay the arrogance, to do that. The whole country has been outraged by that heinous crime. You have to have done it before and gotten away with it. Our late founding father Mwalimu Nyerere once said that it's is like eating human flesh - once you eat human flesh you will always eat human flesh.
Once you steal peoples' resources, you will always continue to do that. You have the power, so which 'punk' will dare challenge you? Which is why I support what former premier, Joe Warioba, Chadema's Free Mbowe and Mzee Joe Butiku suggested. That, former premier, Ted Lowassa should have been given a chance, by the Speaker of the Bunge, Sam Six, to fight his corner.
The government should not try to sweep the scandal under the carpet. If I meet the new Premier Mizengo Pinda (Congrats!) I will ask what happened to the robbery? I think this game was played by more than Lowassa, Karamagi and Msabaha. Has the net spread?
If it has, to what extent? We simply want to see those guys who think they simply can sign off our beloved United Republic of Tanzania just like that. We demand justice. We want them to be punished. And just where is our money?
I can understand, inchanganya kidogo lakini ukweli ni kwamba ile ripoti ilifanyika kipindi cha PCB na sio PCCB!Kasheshe,
Kazi ya Uchunguzi aliyopewa Hosea hivi majuzi nadhani ilikuwa chini ya TAKUKURU, kumbuka sii muda mrefu alipowasilisha report yake.
Hosea anamtatizo ya Ubongo nafikiri. Hauwezi ukaongea maneno kama hayo, I doubt on his capacity to serve the nation in that post.He has shown that he is unfit for the post.
HE MUST GO AND LET US RUN THE AGENCY, TECHNOLOGICALLY.Thanks for your comment.
Kasheshe,
Mkuu nadhani unachanganya hapa... Kumbuka hata Gire alipokwenda kumwona rais Ikulu ilikuwa mwaka mwanzoni mwa 2007 na nakumbuka ahadi za Karamagi ilikuwa hawa jamaa wa Richmond wameongezewa muda hadi February mara March mwaka jana vilevile...kwa hiyo Gire aliitwa baada ya kushindwa kuwakilisha within time limit ya mwisho aliyopewa. Kumbuka pia JK alitupoza akisema generator za Umeme zitawasili karibuni tuwe na subra.
Mwaka 2006 hapakuwepo na uchunguzi wowote ule unaohusiana na Richmond kwani hata Waziri mkuu alipotembelea huku ilikuwa ni swala la ahadi na mara mvua za sayansi..
Kama unakumbuka zengwe serikalini lilianza baada ya mvua kunyesha na mabwawa kujaa hali hawa jamaa wamebadilsiha mwakilishi kuwa Dowans, wakati hapa JF tulikwenda nalo sambamba toka tulipotajiwa jina la Richmond which was 2006 na JK mwaka hu alikuwa akitoa ahadi ya kurudia kutazama upya mikataba ya Madini... Madini was a deal.
Hivyo basi TAKUKURU ndio walio husika na Uchunguzi huu wa Richomnd believe me ninayo kumbukumbu hiyo!.. isipokuwa swali kubwa hapa ni kuwa Je, kuna RUSHWA ilitumika?... hilo ni Chatch 22... mkuu.........sheria haiwezi kwenda na tunavyopenda sisi ila hufuata vitabu vya sheria. Kujipatia tender kwa kutumia madaraka ni haramu lakini sio rushwa hata kidogo, ila nadhani baraza la tume ya maadili ndilo linatakiwa kuchukua jukumu hilo la hujuma za uchumi wetu....
Kwa mapana yake Uhujumu uchumi upo nje ya sheria za Rushwa, lakini nadhani rushwa ndiyoinaweza kuwa ktk Uhujumu uchumi.
Ogah,
Nakubaliana na wewe kuwa kachemsha in a sense kwa Uzalendo lakini sio kisheria. Kulingana na taarifa zote tulizokwisha zipata ama kusanywa nakuomba nionyeshe kipengele hata kimoja kinachodhihirisha RUSHWA ilitumika...
Isipokuwa tukizungumzia baraza ama kamati ya maadili kwa kutumia sheria za maadili ya viongozi nadhani hapo nitakubaliana nayi zaidi. Je, hawa walikuwa wapi? na iweje swala la maadili ya viongozi lipelekwe ktk taasisi ya kuzuia Rushwa!...
Mgonjwa wa Ukimwi unampeleka kwa daktari wa vidonda..
Ogah,
Nakubaliana na wewe kuwa kachemsha in a sense kwa Uzalendo lakini sio kisheria. Kulingana na taarifa zote tulizokwisha zipata ama kusanywa nakuomba nionyeshe kipengele hata kimoja kinachodhihirisha RUSHWA ilitumika...
Isipokuwa tukizungumzia baraza ama kamati ya maadili kwa kutumia sheria za maadili ya viongozi nadhani hapo nitakubaliana nayi zaidi. Je, hawa walikuwa wapi? na iweje swala la maadili ya viongozi lipelekwe ktk taasisi ya kuzuia Rushwa!...
Mgonjwa wa Ukimwi unampeleka kwa daktari wa vidonda..
................Hivi, hata kama makosa ya zogo la Richmond yangeangukia kwenye uhujumu uchumi, (na basi tuamini kuwa PCCB haikuweza kisheria kushughulikia hilo) je, hata kumshauri rais nako sheria ilimzuia?
Kutumia madaraka yako kupata Tender ya serikali sio kosa wala Rushwa hata kidogo na sheria za Azimio zinawa protect zaidi...
Ni mawazo yangu mnaweza nielemisha zaidi kama nimekosea.