VPN yenye server Tanzania

Nicklaus

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
451
455
Kwa yoyote anayejua VPN zenye server Tanzania anisaidie, nahitaji IP address ya TZ.
Au mwenye ujuzi tofauti itakuwa poa zaidi.

Asante
 
Stark VPN
Npv
Ha Tunnel
Kifupi VPN zote zenye kitonga zina server ya TZ ila ni kwa mfumo wa File ambalo wameliWeka wao So utakuta mfano "Airtel Tanzania server"
 
Internet is free worldwide! No one owns Internet! No international gateway for Internet! What make specific locations rests on ISP (Internet Service Provider). So, depending on ISP can determine the regional location
 
Mobile phones companies in Tanzania are all ISP! Ongea nao! Mkongo wa Taifa unamilikiwa na TTCL. Therefore, TTCL is also ISP ndo anayewauziwa mobile companies. Kuna makampuni mengine hayatumii mkongo (wanatumia satellite) na wengine hawatumii "Seacom ya cairo". Wengine wanatumia via Atlantic ocean hawako affected na TTCL
 
Mkuu unaweza nitajia baadhi ya kampuni kubwa zinazouziwa internet na TTCL hapa TZ?
 
Naona katika wote waliokujibu hakuna alieweza kukuelewa shida yako ni kupata ip address ya Tanzania kwa kutumia VPN.

Sidhani kama kuna VPN yenye server zake Tanzania.

Labda useme unataka kuifanyia nini waweza Pata mbadala
 
HMA wanasema wana server TZ.

Pia unaweza kuangalia compuni za Residential Proxy, traffic yako inakuwa inadunda kwa watumiaji wa kawaida ziko nyingi zenye IP TZ ila ni gharama zaidi.
 
huu ni ukurasa wao wa servers zao, hakuna ya Tanzania

1709287243043.png
 
Back
Top Bottom