Umbeya gani kwa mfano, mkuu Laki si pesa?mimi sijaona baya lolote hakuna vita watu wanafanya shughuli zao kama kawaida tatizo CHADEMA mnapenda umbea sana si mtafute kazi halali ya kufanya kuliko hii ya umbea umbea?
Umbeya gani kwa mfano, mkuu Laki si pesa?mimi sijaona baya lolote hakuna vita watu wanafanya shughuli zao kama kawaida tatizo CHADEMA mnapenda umbea sana si mtafute kazi halali ya kufanya kuliko hii ya umbea umbea?
mara njaa, mara ukame, mara vyeti vya makonda,,mara maisha magumu, mara mikutano imefutwa,,,,,yaani umbea umbea mnatuharibia sana kazi zetuUmbeya gani kwa mfano, mkuu Laki si pesa?
Lakini mjadala hapa ni kile ambacho kimenenwa na Lema (thread yake), nayo kwako ni umbea unaokuharibieni kazi zenu, siyo? Wakuu wa CCM ukimweka kando mwenyekiti wanakosoa, hata kama sio hadharani, kuzuia mikutano-katika hili wewe unabaki na mwenyekiti? Utafiti wa TWAWEZA umeonyesha uwepo wa njaa, UN wanatambua uwepo wa njaa katika ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania. Serikali yako pendwa inatekeleza ajenda yake ya kupambana na wafanyakazi hewa wakiwemo wale walioghushi vyeti vya shule na kitaaluma-Chadema wanakuaje wambea wanapoisaidia serikali kuonyesha watu walioghushi vyeti?mara njaa, mara ukame, mara vyeti vya makonda,,mara maisha magumu, mara mikutano imefutwa,,,,,yaani umbea umbea mnatuharibia sana kazi zetu
Mkitaka chadema ianguke awekwe lowassa. Hapa ni Tundu Lissu ndo funga brakeMh naomba kutoa maoni yangu...Wakati campaigns za mitandaoni ziliendelea,nilikuwa nashauri watu wajikite vijijini kupiga campaigns,kama issue ni pesa,wananchi tuko tayari kuchangia,ili mradi tu kampeni zifanikiwe (ikiwezekana nyumba kwa nyumba)tukiamsha ari ya watu kukichukia chama tawala,tunaweza kufanikiwa kuleta mabadiliko mbeleni,
Japo kwa muono wangu,2020 Lowassa agombee tena coz mkifanya kosa mkamuweka mtu mwingine tofauti na Lowassa,huyo mtu hata kama ana nguvu kiasi gani akiukosa urais hiyo 2020 atakuwa amekufa kisiasa...nashauri mkae mezani na ZZK muwe kitu kimoja then by 2025 tumtumie kama hazina kwenye uchaguzi mkuu...
My point here ni kuhakikisha angalau mwaka 2020 idadi ya wabunge wa CCM na Upinzani either inakuwa sawa au Upinzani wanakuwa wengi,hii itasaidia kurudisha hadhi ya bunge kwa kulifanya kuwa muhimili wa dola unaojitegemea tofauti na hali ilivyo sasa
Lowassa for presidency,Lissu ni hazina,anafaa kuja kugombea na mgombea mwingine kabisaa tofauti na Magufuli....!Magufuli 2020 hawezi kung'oka hata iweje,tunachotaka sisi ni idadi ya wabunge kufikia angalau nusu ya idadi ya wabunge wote,hii itakuwa ni hatua ya kwanza kubwa kuelekea kwenye mabadilikoMkitaka chadema ianguke awekwe lowassa. Hapa ni Tundu Lissu ndo funga brake
Yani na wewe hapa ndio mwisho wa akili yako?Î
Godbless unaandika mengi unaishia kujichanganya, naamini unafahamu unajichanganya ila kwa vile unawajua wajinga unaowaandikia ambao watakipenda na kukishangilia ulichoandika umeamua uandike hivyo hivyo kwani unawadharau. Kama unasema hiyo hali iliyopo ni mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kusulubiwa kwake Yesu kwa nini tena utake watu walaani? Unataka watu walaani mipango ya Mungu? Kama uliandika pasipo kufahamu basi ujinga huo haumithiliki
Kutii mamalaka kwa mambo ya kijinga? Mungu hawezi kuwa karibu na viongozi wanaonyanyasa watu wake. Hii ni nchi siyo familia kama anataka aendeshe anavyotaka aende nyumbani kwake lakini siyo kwenye ofisi ya ummaUtawala uliopita mlikuwa waovu nyie..mkatukana sana tu..mkabeza sana na Bado mkakaribishwa juice..hakuna aliyesema mungu anawaona wala katupa masikio..utawala huu mmebanwa kwa kutotii mamlaka mnaanza kulalamika..mbona wenzenu walitulia tuli???!!jifunzeni kuvumilia ingawa hamna la kufanya na mkileta jeuri mtaumia nawaambia..wabunge wenzenu waliotulia wanahudumia wananchi sasa hivi..
Umejenga hoja gani sasa hapa? Vichaa ni wengi sanaNapata shida sana kujua m uwezo wa kujenga hoja kwa wapinzan wa TZ. Nkisema CCM itaendelea kuwa chama pendwa kwa WaTZ walio wengi ntakuwa sijakosea kabisa.
Nyie CCM ndo muwaambie wakina lusinde wawahimize wagogo walime si ndio wanaipa CCM kura? Wakianza kula viwavi jeshi hamuwapi msaada. Mnalaana nyieWajikite vijijini kupiga kampeni kwani tupo katika uchaguzi????
Yaelekea mnafanya haya yote kama mnafanya kampeni....wahimizenu wananchi kulima huu ndio msimu wa mvua msiwavuruge badae mkaanza kuililia Serikali kuwa haitaki kuwapa wananchi wake chakula...
Na wewe unapigania tumbo la nani? Maana unavyoharisha hapa bata aje nyumaLema utawadanganya wajinga tu hamna manachopigania zaidi ya matumbo yenu
Maendeleo pelekeni dodoma huko kwa wagogo wanakokula viwavi jeshi.sisi tunapigania demokrasiaTatizo hamtaki kukubali, yaani mnakuwa kama kazi yenu nyinyi ni kubisha tuuuu....
maana hatuoni jitihada za kuleta maendeleo mliyohaidi zaid ya kushinda mkilalama
na kutoa matamko lukuki kama "devonshire white paper"
Mwenyekiti wako kasema halali kwa namna anavyopenda kuangalia SHILAWADUmimi sijaona baya lolote hakuna vita watu wanafanya shughuli zao kama kawaida tatizo CHADEMA mnapenda umbea sana si mtafute kazi halali ya kufanya kuliko hii ya umbea umbea?

Kwani DODOMA kula viwavi jeshi ni kesi..?? Narudia tena fanyeni kazi tulijenge Taifa na sio kuwa tuna ruka ruka tu mtandanoni wakati mashamba hayana nguvu kazi na viwanda vinakosa man power ya kutosha.Maendeleo pelekeni dodoma huko kwa wagogo wanakokula viwavi jeshi.sisi tunapigania demokrasia
Hapa ndo chadema itakapojichanganga .Lowassa hawezi ubishi utawakost Lissu kwa sasa ndo habari ya mjini .uchaguzi wa TLS tu Ikulu watu hawalali unadhani akisimama urais itakuwaje? Lowassa abaki kwenye technical supportLowassa for presidency,Lissu ni hazina,anafaa kuja kugombea na mgombea mwingine kabisaa tofauti na Magufuli....!Magufuli 2020 hawezi kung'oka hata iweje,tunachotaka sisi ni idadi ya wabunge kufikia angalau nusu ya idadi ya wabunge wote,hii itakuwa ni hatua ya kwanza kubwa kuelekea kwenye mabadiliko
Wewe unasema tufanye kazi kuna mtu unamnunulia ugali hapa? Hivi watu wengine mkoje wewe ratiba za watu unazijua.? Mwambieni huyo jamaa yenu ndo afanye kazi ya kujenga viwanda na kutuletea maendeleo hatukumtuma kukimbizana na opposition sisi.Kwani DODOMA kula viwavi jeshi ni kesi..?? Narudia tena fanyeni kazi tulijenge Taifa na sio kuwa tuna ruka ruka tu mtandanoni wakati mashamba hayana nguvu kazi na viwanda vinakosa man power ya kutosha.
Huhitaji kunipa lecture Mkuu. You don't even know me, so you don't need to judge anything. Lakini kuhusu hicho unachoita "ukweli" hiyo nakuachia wewe uamue hasa una maana gani, maana mimi naona kama ukweli unaousema unaweza kuwa so subjective. Ukweli kwako unaweza kuwa uongo kwangu and vice versa.Unafanya hivyo moyoni ukweli umekuingia na umeamua kuukimbia. Kuikimbia ukweli ni kama kulificha jua lisionekane. Kitu kimoja kaa ufahamu kuwa nafsi zetu hutuambia ukweli muda wote kuliko mtu mwingine yeyote. Usihangaike kujificha wala kukimbia, nhuwezi kuikimbia nafsi yako, ukitulia peke yako itaanza kukuambia ukweli ule akili yako isiyopenda kuusikia
Umeelewa nini katika haya maneno?Lema...Wakati mwingne mkiwa mnaandika UZI humu muwe mnafikiria mara mbili mbili kabla ya KUANDIKA especially kwa nyie ambao ni VIONGOZI....Mnatakiwa wakati mwingne muwe wa KWELI hili la LISSU kukamtwa leo KAJITENGENEZEA mwenyewe makusudi kuelekea huu UCHAGUZI wa TLS ili ionekane hili la yeye kukamtwa leo lina uhusiano na TLS......hamtaki kabsa kuangalia upande wa pili wa yeye kuvunja SHERIA.....
TUNA TAKA TUSIKIE PANDE ZOTE MBILI.......Umeelewa nini katika haya maneno?
KAULI YA WAKILI KIBATALA:
Lissu hajaruka dhamana. Polisi Kanda Maalum Dar walimwambia Wakili Nashon Nkhungu aliyemdhamini Lissu na aliyekwenda kutoa udhuru Jumatatu ya tarehe 13 Machi, 2017 kwamba Lissu arudi leo tarehe 16 Machi 2017 kuripoti.
Leo Wakili Nkhungu amefika na akatoa taarifa kwa mandishi kwamba Lissu yuko Dodoma kwa kesi nyingine iliyofunguliwa na Godfrey Wasonga dhidi ya TLS na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kwamba kuna amri ya Jaji kwamba pande zote zifike Mahakamani saa 4 (leo).
Lissu pia anatakiwa kuwepo Arusha kwa Mkutano Mkuu wa TLS kesho tarehe 17 Machi 2017 na uchaguzi ni Jumamosi tarehe 18 Machi 2017.
Hata kama hatakuwepo Ukumbini kwa sababu yuko kizuizini; atapigiwa kura in absentia kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi TLS. Kukamatwa kwake hakutaathiri haki zake za kuchaguliwa kama Rais wa TLS.
Huwezi kuelewa kwani unategemea mpaka uelezwe, udanganywe ndipo unapojidai kuelewa. Unachangia masikini bila hata kutaka kujua kwa nini Lisu kakamatwa. Wewe akikamatwa Lisu hata kama akikutwa anabaka wewe umekaririshwa tu Lisu anaonewa