Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
huyu ndie waTZ tulio weng tumemchagua,,ww na famiklia yako endeleeeni kumsujudia bwana yule mwenye mamvi,,,sisi tunasonga na JPM na 2020 tunampa yeye tenaaaaaa mkomeeeeKutii mamalaka kwa mambo ya kijinga? Mungu hawezi kuwa karibu na viongozi wanaonyanyasa watu wake. Hii ni nchi siyo familia kama anataka aendeshe anavyotaka aende nyumbani kwake lakini siyo kwenye ofisi ya umma