Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .

History tends to repeat itself

MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA

yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war

KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO

DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 7
Ni yule askofu anayefufua watu. Aliipigia sana chapuo hii kauli
 
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .

History tends to repeat itself

MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA

yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war

KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.

Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.
 
Screenshot_20251130-084956~2.png
 
Ertugrul Bey wapi hiyo?
 
Hapo mimi ndipo ninawashangaa sana wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC

Pindi hamasa ya vurugu inafanywa wao wamekaa kimyaaa...

Vurugu zimeanza na serikali imechukua hatamu kuinusuru nchi haoo wanakuja na magauni yao eti serikali ijieleze...

Ijieleze kwao wao kama nani??shenzy kabisa
 
Wameathirika na athari za kikoloni hawajui ni namna gani waislamu walipambania Uhuru wa hii nchi
 
Nakushauri usifananishe jihad ya majimaji na hawa walevi waliorubuniwa kwa elfu kumi kumi.

Ukitaka kujuwa vita ya majimaji ya kweli na kwanini ikaitwa majiji mfatilie Alama Mohamed Said sio historia ya kujazwa ujinga (brain washing) ya mkoloni.

F.F

Long time sana,vijana wa wavaa magauni hadi wamenenepeana kwa uhuru na kauli zao za shombo jukwaani hapa.
 
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .

History tends to repeat itself

MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA

yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war

KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO

DON'T PLAY SOMEONE'S GAME

Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kuua, kuzikwa katika makaburi ya halaiki, n.k. pasipo kushitakiwa

Hii inawaruhusu intelijensia wenye wito wa special duties ndani ya TISS, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA, n.k. kuweza kufanya jinai ya uaminifu pasipo kushitakiwa ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Sheria ya hapo awali ya Mwaka 1996 ilikuwa inawaruhusu kukusanya taarifa, kuchakata taarifa na kutoa ushauri au mapendekezo serikalini walikuwa hawaruhusiwi hata kukamata mtu jukumu hilo alipewa Jeshi la Polisi pekee lakini kwa sasa hata vyombo vingine kama TAKUKURU na UHAMIAJI wamepewa jukumu la kukamata Mwananchi kwa makosa yanayoendana na Taasisi zao.

Asante
 
Japo wanasema shambulia hoja na si mleta hoja .
Ila wewe mleta mada si niwewe ulikuwa na I'd kadhaa alie kugundua mdada fulani baada ya kuhitafiana nae ukapotea kwa muda kidogo hapa jukwaani!

Anyway upande unao utetea hauwezi kushida asilani.
 
Hakuna anayetetewa hapa sisi hatupo kufanya utetezi hapa
 
Back
Top Bottom