Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,151
Kama hampendi yeye anataka amga'nganie si amuache wanaume wengine sijui wako.Habari za ijumaa wadau.Niende moja Kwa moja kwenye mada.Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri...
Wabongo wakiwa na matatizo wanakuja na genda kuwa kuna rafiki yake badala kujisemea mwenyeweHabari za ijumaa wadau.Niende moja Kwa moja kwenye mada.Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana,nkasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.
Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.
Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.
Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
AiseeHabari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.
Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.
Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.
Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Huyo mwanaume ni wale wanaojinyonga wakikosa Nauli ya kwenda kwa Baba Mkwe msibani.Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.
Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.
Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.
Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Kuna mtu kweli anaweza kujijonga akikosa nauli ya kwenda kwa baba mkwe? Hapa mkuu umetupangaHuyo mwanaume ni wale wanaojinyonga wakikosa Nauli ya kwenda kwa Baba Mkwe msibani.
Vijana msikimbilie kuoa kama hamko tayari.