Aliyesababisha Radio One na ITV kuanguka kutoka kilele cha tasnia ni nani?

Kwa ujumla IPP Media katika ubora wa wake enzi za kabla ya mwaka 2016 ilikuwa ni kampuni ya kiwango cha juu kabisa katika tasnia ya habari katika ukanda huu wa Africa Mashariki kwa weledi na umahiri.

Vituo vyake vya Radio one, ITV, East Africa pamoja na magezeti yalikuwa ya weledi wa hali ya juu. Ulikuwa unapata habari ambazo unaona kweli zimefanyiwa kazi na waandishi halisi wa habari, pia katika burudani walikuwa wanafanya vizuri sana.

Waliweza ku-balance utoaji wa habari ngumu, elimu na burudani kwa weledi wa hali ya juu na kuvutia.

Tangu 2016 ni kama IPP ilipotea kabisa katika tasnia na kuliacha taifa katika ombwe kubwa la kukosa chombo cha habari kinachowasilisha maslahi mapana ya kitaifa ambacho kinawafikia watu wengi.

Kwa sasa katika taifa letu vyombo karibia vyote vinavyowafikia raia wengi ni kama vya comedy na burudani zaidi. Kuanguka kwa ITV na Radio One ni moja tukio baya zaidi katika historia ya nchi yetu.
Siyo tu vyombo vya habari vya IPP media... Bali pia hata kiwanda cha Bonite kinachosupply vinywaji laini na maji ya Kilimanjaroi kanda ya Kaskazini nacho kimeyumba. Nabaki na swali kuwa Je? Kufariki kwa CEO ndiyo chanzo cha kampuni hizi kuyumba? Nini shida?
 
wanahabari wanaminywa uhuru wao
 
Siyo tu vyombo vya habari vya IPP media... Bali pia hata kiwanda cha Bonite kinachosupply vinywaji laini na maji ya Kilimanjaroi kanda ya Kaskazini nacho kimeyumba. Nabaki na swali kuwa Je? Kufariki kwa CEO ndiyo chanzo cha kampuni hizi kuyumba? Nini shida?
Bonite imeyumba kivipi, elezea I feel good
 
Back
Top Bottom