MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,358
- 22,935
Uliishia darasa la ngapi?Enzi hizo michezo utamkuta abdala majura au doe Rweyunga kwenye habali usipime kina ebd mwaipaya Joisi mfinanga NK nk mpaka burudani sostenes bakisya noyma sana abubqkali Kwa Fujo dj misanya bingi pia dah uje kwenye magazeti yalikuwepo mpa ya alasili Hadi kasheshe la udaku wewe kamali na kaboka mchizi weka mbali na watoto