LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Heshima kwako mkuu,
Hizi hbr kuwa banjoo anahusika kwenye hii ishu zimekaaje mkuu?? tumezipata hizi hbr kama uvumi vile
The more you get, the more you hunt for..! Money has never made a man happy..! Kifarutz 2015..!
Killing a human fellow for just 150m?
Kwani huyo Mmasai hawezi kutumika kumsingizia huyo Ustadh manake siku hizi fitina ni nyingi
Ina maana mtu anaua halafu anatolewa nje kwa dhamana kwa nguvu ya dola?Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci
na vijana wa chusa wanasema wazi kabisa kwamba boss haumwi lakini katoa kitu kidogo ili asikae magereza,hao vijana wa chusa wanaropoka sana huku mjini, na kabla ya tukio mmoja wao aliropoka pia, tubakie na haya majina ya JF tu mana chusa ni jirani yangu kwenye bangaloo lake fulani hapa mjini, ni kama bro kwangu, hao vijana tunakunywa nao "chai" mjini! erasto alitoka mjini akijua kabisa anaenda kufanya biashara na watu fulani anaofanyaga nao biashara siku zote na sehemu ile,(pale ni mahali wanapofanyiaga biashara zao) nani kichaa atoke na pesa zote akafanye biashara porini kwa watu asiowajua?
Killing a human fellow for just 150m?
Mambo poua Mkuu! Haya mambo ya Banjoo Mi nafikiri ana uhalali wa kuswekwa jela kwani huyu chali ni danger sana ndani ya jiji anatisha sana na lazima anajua mambo yote yaliyoendelea kwa Marehemu Erasto.
Unakumbuka vizuri huyu Banjoo alishahukumiwa akiwa na Jastini Nyari miaka 30 lakini alifanya makeke makeke ya shilingi na haki ikapindishwa na leo yuko huru tena akijigamba kabisa!
Hili la Erasto kama haki isipopindishwa nawaambia inaweza ikafanya hili jiji likawa shwari kabisa.
Copy kwa;
Arushaone
sweetlady
Mzee wa Rula
PakaJimmy
Loner
Mchaka Mchaka
Ndallo
Nafikiri hakuna asiyemjua huyu balaa Banjoo.
Heshima kwako mkuu,
Hizi hbr kuwa banjoo anahusika kwenye hii ishu zimekaaje mkuu?? tumezipata hizi hbr kama uvumi vile
Mkuu liverpool
Ni kweli banjoo ni mtu hatari saana kwa kuandaa na kutekeleza mauaji mengi ya mji wa arusha. Sijui ni kwanini wanamwachia mtu kama huyu aendelee kuishi wakati ni muuaji aliebobea. Kwenye hili la erasto nasikia nae alihusika. Ila nakwambia siku zake zina hesabika, haiwezekani wewe ukajifanya kidume siku zoote na watu wengine ukawaona mafala.
Ina maana mtu anaua halafu anatolewa nje kwa dhamana kwa nguvu ya dola?
Acheni kupotosha aliye muua erasto sio mtu wake wa karibu. Swaibu na erasto wapi na wapi? Sharifu mtoto wa juzi kinuka mkojo tu ana ingiliana je na erasto? Ujambazi wa kijinga na wivu wa biashara wa kipumbavu na kumhisia mtu vitu vya kijinga jinga tu. Sharifu watoto wa dogo sana kwenye ligi ya mawe jamani
Hatimaye aliyemmiminia risasi 21 Erasto akamatwa ni mtu wake wa karibu sana na alishawahi fungwa miaka sita kwa ujambazi.
Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci[/QUOTE
Manumba amekuwa akitajwa sana kama ilivyokuwa Mahita kusaidia watu wahalifu wenye pesa nyingi,ni wakati sasa huyu mkubwa kuchunguzwa maana sii ishara nzuri DCI Kuhusishwa na mitandao ya kihalifu. Kuendelea kunyamaza ni kuipa nafasi mitandao hiyo kujijenga mpaka itafikia mahali haiwezi kugusika tena kama ilivyo kule Amerika ya kusini.