Wao huwa wanaomba ili watu wafe na wao waende "peponi" kwenye mabikira 72 na jicho la utosini.Hizi dua gani za kuangamiza roho tu mbona hatujawahi sikia wagonjwa wameombewa na shehe na wakapona
Wao huwa wanaomba ili watu wafe na wao waende "peponi" kwenye mabikira 72 na jicho la utosini.Hizi dua gani za kuangamiza roho tu mbona hatujawahi sikia wagonjwa wameombewa na shehe na wakapona
Na mimi nataka wasomewe dua hiyo.Naomba mawasiliano na huyo Imam nataka awasomee dua CCM pia
Nimeipenda hii ya JF (Jesus First).Hakuna kitu kama hicho katika Uislam hivyo ni vitisho vya mashekhe uchwara. Wala hakuna eti dua ya kumuombea aliekuibia Mwenye kuhukumu ni Mwenyezi Mungu peke yake. Mwenyezi Mungu hamhukumu kwa dua anayosoma binadamu hapa duniani. Wanaotangaza mambo ya kusoma dua au albadiri ni vitisho vya kitoto na vya kizamani. Aacheni kuharibu Uislam kwa ujinga. Wenye hii JF (Jesus First) unaona povu liavyowatoka na kuukejeli Uislam.