Aliyemtapeli Imamu simu, kusomewa Dua Maalum

Wezi wengi tu huku mtaani kwetu huwa wanaambiwa watasomewa dua lakini mpaka leo wapo fresh. Hii dua ni Uchawi wa kufikirika tu na kumtisha mtu.

Subiri tuone kwanza kule kwa Waziri asiye na wizara maalum Zenji, yeye alitoa siku 14 waliokata mikarafuu yake wajisalimishe vinginevyo 'salat al badr' itawahusu. Nafikiri kesho ni siku ya 14
 
ImageUploadedByJamiiForums1467369349.145697.jpg
wamfuate sheikh huyu atawapa muongozo aliibiwa simu
 
Hivi yule alikatiwa mikarafuu yake kule pemba na kutoa muda wahusika kujisalimisha kabla kusomewa albadili amefikia wapi au anasubiri mwezi mtukufu uishe. Au ndy mikwara maana mrema alisomewa albadili za kutosha lkn hatukuona kitu.
 
Hivyo vitisho tu, Sheikh ashapigwa ajifunze kukubali matokeo tu
 
All human actions have one or more of these seven causes: chance, nature, compulsions, habit, reason, passion, desire
 
Kuna ustaadh mmoja tanga jina limenitoka aliibiwa nazi shambani kwake akawaomba walioiba wazirudishe hawakuskia!
Akapiga AL BADIRI wale waloiba walikufa walionunua na kuzitumia majumbani pia waliathirika unaambiwa hadi punda alievuta mkokoteni uliobeba nazi alikufa kifo kibaya sana!
 
Back
Top Bottom