evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,330
Mekumiss mpka naumwa mamii....
Ktk Uzi wetu wa l series sikusomi frequently
Mekumiss mpka naumwa mamii....
Mkuu ngoja niiangalie nitakutumia, haina lolote! Yaliyopo ndani ya hiyo vdo watoto wengi wanafanya sema hawarekodiwi tu! Tatizo haliwezi kuwa eti video! Insu ni maadili tu yameporomoka na sio kwa hiyo familia tu! Ni jamii yoote. Tuache kujifanya vipofu'nitumie pm niione, m sijaiona
Nipo ndugu yangu, huwa sikai sehemu moja muda mrefu.Mekumiss mpka naumwa mamii....
Ktk Uzi wetu wa l series sikusomi frequently
nitumie pm mkuuMkuu ngoja niiangalie nitakutumia, haina lolote! Yaliyopo ndani ya hiyo vdo watoto wengi wanafanya sema hawarekodiwi tu! Tatizo haliwezi kuwa eti video! Insu ni maadili tu yameporomoka na sio kwa hiyo familia tu! Ni jamii yoote. Tuache kujifanya vipofu'
Nitaiweka hapa"
Haya mambo yapo sana uswahilini labda wewe ni mgeni tu au huishi mazingira hayo, wazaz ni muhimu kuwalea watoto kimaadili, alorekodi ana kosa ila wapo waliomuona huyo mtoto tangu awali hawakumkanya, sidhan kama alijifunza siku ya kurekodiwa.Mkuu nilikuwa naiangalia ile video ,MTOTO Wang wa kike almost miaka miwil kasoro WA umri, alipokuja karibu yangu kuangalia nikakimbiza simu nikiogopa asijifunze upumbafu aliokuwa anafanya MTOTO mwenzake aliyefundishwa kwa msaada WA wazazi wake kubenua matako juu....
Ok..Nipo ndugu yangu, huwa sikai sehemu moja muda mrefu.
Wasakwe tu. Walichofanya sio cha kimaadili kabisaKuna video inasambaa tangu jana kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram ikimuonyesha mtoto(Dorcas kama alivyoitwa humo) akichezeshwa wimbo wa chura kweli ile vidio haina maadili kabisa na ni udhalilishaji wa watoto.
Naomba vyombo vinavo husika vimsake huyo mtu wakianza na mzazi wake haifai kudhalilisha watoto kwa kiwango hicho.
Vipi amepatia kucheza iyo chura au amechemsha? nifahamishe hilo kwanza...
Iangalie mkuu halafu utoe mrejesho.nitumie pm mkuu
Thanx. Siku njema kwako.Ok..
Have a nice flow mom,ktk jukwaa
mbona haionekan mkuuIangalie mkuu halafu utoe mrejesho.
Nimeona imeandika unsupported vdo. Ngoja nicheki tena"mbona haionekan mkuu
we mtu wa kigodoro a cha hizo.Nitumieni nione jamani...!
Umeeleweka mkuu, ila kumbuka tu mtoto kasema aliona kwa mama na baba. Naona haikuwa bora saana kuhusisha usingo maza kwenye ile videoSiwafanyi jalala ,,,, ukiona familia yababa namama ,watoto wanaharibika nasi ujue KUNA BONGE LATATIZO KTK IYO FAMILIA .
wapo Singo maza wanaolea vizuri ,,nasingo maza wanaolea vizuri waajulikana ,,kwanza aina yamaisha yao alafu niwachapakazi sana.
Sasa Singo maza anayetegemea wanaume kuishi ,,anakazi lkn anaona pesa haimtoshi ,,, unazani huyu atalea ??????? Singo maza akitoka out kavaaa uchi ,,mtoto kavaa uchiiii,, wakiume kavalishwa kishoga .......Hawa ndo nawasemea Mimi.