Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

Pamoja na hayo sasa ni kukemea mtoto asifanye au ku copy na paste sasa ndiyo kwanza anarekodi huyo mdada na kutuma kwa media
Huyo dada aliyerekodi anatakiwa aadhibiwe kwa kitendo alichofanya ili iwe fundisho kwa watu kama hao maana wapo wengi wenye tabia hizo
 
Anatumia jina gani huko insta, niione na mimi ntoe tamko la kulaani..!

Au ishafutwa?
Hahaahahha laani tu mkuu maana hata ukiona utazidi kulaani tu mkuu,ninayo hiyo video sema kuituma tena hapa ni kuendelea kukuza au ku promote ujinga mkuu,endelea kulaani tu tupinge ujinga wa hivi
 
yah serious i want to know this. Maana nyie mliyoiona mnajua ndio mana mnalalamika
i take kwamba huna mtoto ndo maana umeuliza swali la kipuuzi .... huo ndo mwanzo wa kuwa pedophile ... kupatia na kushindwa kwa mtoto cjui kungekupa raha gani.. acha kuuliza maswali ya kijinga watu wanapokua wako serious kukemea ujinga unaouuliza.
 
Huyo dada aliyerekodi anatakiwa aadhibiwe kwa kitendo alichofanya ili iwe fundisho kwa watu kama hao maana wapo wengi wenye tabia hizo
Mamlaka zenye rungu na jambo kama hili tuanze na TCRA hawa wanaweza mkamata kwa urahisi wampeleke kwenye vyombo vya dola....ninachukia ujinga watiwe hatiani tu mwaka mmoja jela itapendeza zaidi
 
Sasa mnasema imesambaa mbona mie sijaiona na hamtak kuiweka hapa

Otherwise ni uzushi wenu mnajadili
 
i take kwamba huna mtoto ndo maana umeuliza swali la kipuuzi .... huo ndo mwanzo wa kuwa pedophile ... kupatia na kushindwa kwa mtoto cjui kungekupa raha gani.. acha kuuliza maswali ya kijinga watu wanapokua wako serious kukemea ujinga unaouuliza.
how can you justify i dont hav a child. and by which criteria justfy swali ni la kijinga. To me hata wewe uliyeiangalia hiyo hadi mwisho ni mjinga vingine u could ignore from the beginning.
 
Kuna video inasambaa tangu jana kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram ikimuonyesha mtoto(Dorcas kama alivyoitwa humo) akichezeshwa wimbo wa chura kweli ile vidio haina maadili kabisa na ni udhalilishaji wa watoto.

Naomba vyombo vinavo husika vimsake huyo mtu wakianza na mzazi wake haifai kudhalilisha watoto kwa kiwango hicho.

Labda ni Mange Kimamhi jaribu kumuuliza insta
 
usinichoshe.... itafute uangalie ujue alipatia au alikosea... akhaaaa!!!!
 
Huku kukosa smartphone ni shiiiiiida!!! ninahamu ningeona ilivyo HIYO SCRIPT ili nami nitoe comments zangu lakini duu! jamaa walipora simu yangu IMEI 354459061797080 lakini ndio ivyo tena, aah! Kwa vile suala la maadili naunga mkono pendekezo la wengi ili maadili yaheshimike
 
Mimi sijaiona tafadhali mwenye nayo! Anirushie PM nami nione

Utandawazi wazi huo
 
Leo ndo nimeiona hiyo vdo. Mi nilisema hapa watu wanatoa povu jiiingi! Lakini halina maana yeyote! Ukimuona yule mtoto anavocheza ni vile vile anavocheza snura kwenye wimbo Wa churaa! Huu wimbo upon popote na watoto wanaona, ni kama wanavoona na kucheza ngololo ya diamond, ni kama wanavoona na kuigiza mavideo queen ktk nyimbo nyingine au ktk movie hizi za kibongo, kikorea nk. Kwenye hii vdo kibaha labda ni huyo tu alikuwa anamuhoji na kurekodi" lakini hayo mambo wanawake wanafanya sana kwa watoto wao! Hasa Wakike!

Wanawake ni watu Wa ajabu sana, kama mwanaume hayupo mwamke haoni Shida kuvua nguo zote mbele ya bintiyake, ni wao ndo huanza kumfundisha mtoto kucheza kujipaka wanja, marangi midomoni na wanamfundisha kujiweka romantic! Wasikilize wanavoongea na binti zao, ni kama MTU na rafikiake!

Wanaume waliolaani hii vdo hapa, siku watazimia wakikuta bintizao wakicheza zaidi ya hivi na mama zao wakiwaangalia!

Wanawake sio watu Wa mchezomchezo! Hawana akili hata1"
 
Back
Top Bottom