Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

nitumie pm niione, m sijaiona
Mkuu ngoja niiangalie nitakutumia, haina lolote! Yaliyopo ndani ya hiyo vdo watoto wengi wanafanya sema hawarekodiwi tu! Tatizo haliwezi kuwa eti video! Insu ni maadili tu yameporomoka na sio kwa hiyo familia tu! Ni jamii yoote. Tuache kujifanya vipofu'

Nitaiweka hapa"
 
Mkuu ngoja niiangalie nitakutumia, haina lolote! Yaliyopo ndani ya hiyo vdo watoto wengi wanafanya sema hawarekodiwi tu! Tatizo haliwezi kuwa eti video! Insu ni maadili tu yameporomoka na sio kwa hiyo familia tu! Ni jamii yoote. Tuache kujifanya vipofu'

Nitaiweka hapa"
nitumie pm mkuu
 
Mkuu nilikuwa naiangalia ile video ,MTOTO Wang wa kike almost miaka miwil kasoro WA umri, alipokuja karibu yangu kuangalia nikakimbiza simu nikiogopa asijifunze upumbafu aliokuwa anafanya MTOTO mwenzake aliyefundishwa kwa msaada WA wazazi wake kubenua matako juu....
Haya mambo yapo sana uswahilini labda wewe ni mgeni tu au huishi mazingira hayo, wazaz ni muhimu kuwalea watoto kimaadili, alorekodi ana kosa ila wapo waliomuona huyo mtoto tangu awali hawakumkanya, sidhan kama alijifunza siku ya kurekodiwa.

Kuna baadhi ya mitaa kwa Dar es Salaam kinapopita kigodoro kuna wanawake wanajifunika madera usoni na kubaki UCHI WA NYAMA, MAMIA YA WATOTO WANAONA.Hayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe TANDALE, MWANANYAMALA,KINONDONI
 
Kuna video inasambaa tangu jana kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram ikimuonyesha mtoto(Dorcas kama alivyoitwa humo) akichezeshwa wimbo wa chura kweli ile vidio haina maadili kabisa na ni udhalilishaji wa watoto.

Naomba vyombo vinavo husika vimsake huyo mtu wakianza na mzazi wake haifai kudhalilisha watoto kwa kiwango hicho.
Wasakwe tu. Walichofanya sio cha kimaadili kabisa
 
Siwafanyi jalala ,,,, ukiona familia yababa namama ,watoto wanaharibika nasi ujue KUNA BONGE LATATIZO KTK IYO FAMILIA .

wapo Singo maza wanaolea vizuri ,,nasingo maza wanaolea vizuri waajulikana ,,kwanza aina yamaisha yao alafu niwachapakazi sana.


Sasa Singo maza anayetegemea wanaume kuishi ,,anakazi lkn anaona pesa haimtoshi ,,, unazani huyu atalea ??????? Singo maza akitoka out kavaaa uchi ,,mtoto kavaa uchiiii,, wakiume kavalishwa kishoga .......Hawa ndo nawasemea Mimi.
Umeeleweka mkuu, ila kumbuka tu mtoto kasema aliona kwa mama na baba. Naona haikuwa bora saana kuhusisha usingo maza kwenye ile video
 
Ndio maana huwa siwa follow watu wajinga wajinga insta kwasababu ya upuuzi huo tu. Hivi yule mmama aliefanya vile anaakili au magimbi kichwani mwake
 
Nalaani kitendo kile kwa herufi kubwa. Jamani wake zetu hivi ndivyo mnavyowalea watoto wetu? Maana mara nyingi sana huwa mpo karibu na wanetu na mna impact kubwa sana katika makuzi ya watoto wetu. Sasa km hali yenyewe ni hii kweli usalama wa mtoto utakuepo??

Shame!!!!
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom