Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

Ngoja Nikupe Mwanga Kidogo Kwa Hili Jambo

Inaonekana Hao Ni Wagen Walienda Mtembelea Shoga Yao ( Mama Yao )

Sasa Mama Inaonekana Akawa Ametoka amay B Wameenda Chumban

Seblen Wakabaki Wagen Na Mtt

Watoto Nadhan Unawajua Tabia Zao Za Kucheza Cheza

Mtt Akaadhaa Kucheza Iyo Style Ya Chula Mbele Ya Wagen Na Wagen Wa Sasa Ni Wa Digital Kavideo Kana Husika Hapo

Mtt Kuulizwa Na Wagen Nan Kakufundisha Anasema Mama

Umemuonea Wap Wanachezega Na Baba
Lkn je nisawa kwa kilichofanywa na hao wageni?
 
Na wazazi muwe makini mnapoliamsha dude wakat mmelala na mtt...mnaenda kugeuzana style zote mpk mtt anajifunzia hapo
 
Ni video mbaya sana kwa malezi ya watoto wetu especially wa kike. Hii sheria ya makosa ya mtandao ni kwa wanaotukana viongozi tu haina makali kwa makosa kama haya. ?
 
Dah, Nimependa wanajf tunavyoshiriki kulaani ile video. Kiukweli nilimuonyesha Mke wangu nikaambulia kulaumiwa kwa kumuonyesha, japo imetujenga km familia kuendeleza MAADILI mema kwa wanetu. Wakimkamata wakwe Naye kwanza si tu kumpeleka mahakamani. Imetia aibu sana.
Lkn pia Sisi wazazi tuwe makini na Mambo yetu hata km Ni Chumvi kinoma tu.
 
Hata mimi amenikasirisha sana huyo dada anayesikika akimchukua video mtoto dorcas maana ni ujinga kumchukua picha na kuonyesha ujinga huu na kuusambaza hasa huyo dada anaesikika tuanze kumfungulia mashtaka, eti anasema nani kakufundisha yani nime laani vikali kama ilivyo jadi yetu watanzania kulaani basi na laani tena na tena hichi kitendo na tenaaa
 
Hatua zichukuliwe ni uzalilishaji kwa mtoto na kwanini wanafundishwa vitu kama hivyo na vinakuwa promoted kwenye media zinasambazwa kweliii jamani
 
Ila wake zetu ndiyo kazi za kufundisha au kuwaonyesha watoto wetu upuuzi kama ule na mtoto anasema kafundishwa na mama..
 
Lol.... mngetuwekea na sisi tuione maana mnatupa mzuka halafu wa kutoa povu ila halitoki sababu hatujaionaaa

ila nachukia sana udhalilishaji na uonevu kwa watoto.
 
Back
Top Bottom