Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Mutatukana weee na kukashifu, lkn Lugola anaandaliwa kuwa Rais, mtaona!

Baadaye atasafishwa na kutamka kuwa hana hatia alionewa! usiwaamini wana Siasa hata siku moja!
 
kinusikwetu, Tiss=collect,analyse,disseminate and ungemalizia kila kitu, okey je hawakuwa au walikuwa wanajua kinachoendelea kabla ya kangi kumaliza mchezo??, nahisi walikuwa hawajui au ni udhaifu flani ndani ya taasisi kushindwa kumbana kabla .
Tupambane na hali zetu tulipe kodi
 
hawatamfanya kitu,
wanataka kuwazuga watanzania kwmb serkal ipo,
kumbe uhuni mtupu tu.
mtaona,
siku hazigandi.
ila watanzania mambo ya kuuuwa upinzan ili magufuli asije kuulizwa siku akitoka madarakan kwa ufisadi na matumiz mabovu ya madaraka,
nawadharau sana.
sina Hamu na hii nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Jiwe asipojifunza kuwa na yeye tutamkamata tumpeleke ICC baada ya kumaliza mda wake mwezi October basi atakuwa hasikilizi ushauri wa mtu. 😆😆

Kangi juzi tu ndio alikua 'faza hausi' leo anafanyiwa kama Omar Al Bashir. Maisha haya jamani watu wajifunze kuwa hakuna atakaedumu kwenye madaraka milele.

Sinema liendelee, zetu popcorn 🍿.
 
Back
Top Bottom