Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hahahhah.Ok kuna Shida basi kwao.....
Vp chakula ulikuwa unaletewa daily au ulikuwa unakula cha ndani
Ova
Unajua niliwekwa ndani mie na shemela wako.
Nilikuwa naletewa toka home daily.
Shemela wako akiletewa nakula au mie nililetewa nakula nae.
Ila utaratibu wao mzuri.
Mletaji chakula....unakula in front of wao, after 2 minutes ndo waletewa