Basi angetuambia ameziona kwenye magazeti tu juu juu sio azijui
Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet
Walioamua kukaa kimya sio kuwa hawajui au labda wewe unajua zaid, hapana!!!!
Kupitia Simba Trust Australia, Ridhiwani Kikwete ft. Albert Marwa via Satanic Bank thu' escrow account. Tunasubiri season 2 ya ESKROW series kwa hamu......!JK ni laana
Kwanza mmiliki wa PAP ni yeye..
Gwangambo...! Saitaa hebu fafanua vizuri kuhusu hili nina hamu ya kufahamu zaidiKupitia Simba Trust Australia, Ridhiwani Kikwete ft. Albert Marwa via Satanic Bank thu' escrow account. Tunasubiri season 2 ya ESKROW series kwa hamu......!
Basi angetuambia ameziona kwenye magazeti tu juu juu sio azijui
Mkuu kitambo atujawasiliana mkuu
Kupitia Simba Trust Australia, Ridhiwani Kikwete ft. Albert Marwa via Satanic Bank thu' escrow account. Tunasubiri season 2 ya ESKROW series kwa hamu......!
Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet