Alipotua akapewa Magazeti yenye habari za Escrow lakini akasema hazijui

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
Untitled.jpg
 
Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet

Basi angetuambia ameziona kwenye magazeti tu juu juu sio azijui
 
Basi angetuambia ameziona kwenye magazeti tu juu juu sio azijui

Rais atoe lugha hii ? hakuna kitu kinachoitwa kujua jua ama juu juu from officials , Maneno mawil tu , Najua au Sijui . Hatakiwi kukurupuka
 
Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet

Walioamua kukaa kimya sio kuwa hawajui au labda wewe unajua zaid, hapana!!!!
 
Kupitia Simba Trust Australia, Ridhiwani Kikwete ft. Albert Marwa via Satanic Bank thu' escrow account. Tunasubiri season 2 ya ESKROW series kwa hamu......!
Gwangambo...! Saitaa hebu fafanua vizuri kuhusu hili nina hamu ya kufahamu zaidi
 
Last edited by a moderator:
Hbr alizijua sema yeye pia hana uhakika za binafsi au za serekali hahahha hii nchi kila mtu mgeni sasa sijui wenyeji nani?
 
mzaramo tokea atoke huko sijui kwa joni hopukini ni mwendo wa kukalia saburi moja tu...sijui walimfanya nini hao bandugu huko
 
Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet

Well said.wanafikiri magazeti ndo kila kitu.kuna watu na shaka nao hapa nahis wakipewa nchi wataongoza kwa magazet
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom