Alipotua akapewa Magazeti yenye habari za Escrow lakini akasema hazijui

Kupewa magazeti sio kuzijua , kumbuka huyu n rais anatakiwa apate taarifa kamili itakayo mwezesha kufanya maamuz na sio taarifa za magazet

kwa hili sidhan kama atakuja na maamuz mujarabu,maana za kuambiwa inapaswa uchanganye,yeye ataishia kusema 'Nimeambiwa.........nimeambiwa.........nimeambiwa.......
 
post ina dk 20 tu , akina nan hao walio kaa kimya , Rais wa wapi anaepokea taarifa kutoka kwenye magazeti ?

Upo mkuu, dakika ya ngapi sasa???!!!
Wasomaji wanaojua haswa kama anazo taarifa au la!!!
Hivi kwenye magazeti kuna taarifa au habari????!!
 
Upo mkuu, dakika ya ngapi sasa???!!!
Wasomaji wanaojua haswa kama anazo taarifa au la!!!
Hivi kwenye magazeti kuna taarifa au habari????!!

Kama ni mpira dakika zimeisha hadi za nyongeza.
 
Politics uwanja wake mkubwa sanaaa...na ninadhani jk yupo katika hali bora ya kisiasa sasa hivi kuliko nyakati za nyuma...anajua kucheza na karata zake....
 
Politics uwanja wake mkubwa sanaaa...na ninadhani jk yupo katika hali bora ya kisiasa sasa hivi kuliko nyakati za nyuma...anajua kucheza na karata zake....

Hapana mpondamali yuko katika nyakati ngumu kuliko kipindi chochote kile, anatakiwa achukue uamuzi mgumu sasa was kuwawajibisha wale wote waliohusishwa kwenye kashfa ya IPTL/ESCROW, lakini wakati huohuo familia yake ikitajwatajwa kuhusika na hii kashfa

Kuna mtifuaano unaendelea ndani ya chama chake maamuzi yoyote atakayochukua yatakuwa na athari kwa ccm, na hapa ishu ya urais mwakani ikihusishwa kwa karibu mno kutokana na maamuzi atakayochukua

Katiba bado haijapigiwa kura ya ndio na kwa hali ilivyo haitaungwa mkono na wananchi walio wengi

UKAWA unatishia uhai wa ccm kwa kiwango cha kutisha na kama kuna kitu ccm inaogopa ni kusikia kuwa UKAWA wanaweza kuchukua nchi kwa kuibwaga ccm kwenye uchaguzi mkuu mwakani

Jk ana hali ngumu kwasasa anaomba kwa miungu yote mambo haya yatokee
-atakaowawajibisha wakubali kuachia ngazi na kukaa kimya ili kumlinda/ kukilinda chama
-katiba pendekezwa ipigiwe kura ya ndio
-UKAWA/CHADEMA visambaratike kabla ya uchaguzi mkuu mwakani
- wote waliopata mgao was escrow wakubali kurudisha pesa yote kimyakimya na bila masharti

Anaomba mambo mengi yatokee kwasasa ambayo si rahisi kuyaandika yote hapa
 
Last edited by a moderator:

Ninakubaliana na wewe kabisa ndugu MSHANA JR tena kwa asilimia 100.Lakini hapa wewe umeongelea hasa katika mambo ya kiutawala ndani ya chama na nje ya chama (serikalini).Kwa hali aliyonayo mheshimiwa Raisi si hali ya kawaida kiutawala mambo ni magumu sana kwake kwasasa.Kashfa hizi kiubuka katika kipindi cha utawala wake ni changamoto kasha nzito nne(4) na bado yupo madarakani unadhani hapo ni nini bdo kinambakiza ikulu mpaka muda huu.
Kiukweli kabisa Mhe.Dr.Jakaya Kikwete yupo katika form nzuri ya kisiasa kwa sasa hivi.NOW ALL ISSUES FACING HIM WILL BE SOLVED IN EITHER POLITICAL WAY OR DIPLOMATIC WAY.Kwa mfano hebu check hili sakata la ESCROW pale bungeni..kwa kusema kweli kila mtu alikuwa anajua kwa sakata hili hakuna wa kupona hapo (serikali) ila mambo yakapoozwa ndani mulemule kupitia kamati ya maaridhiano.Na Dr JK anapenda sana mambo ya kufikia maaridhiano to NEGOTIATE.HAPO NI KWA UPANDE WA KIUTAWALA AKIWA KAMA RAISI. Anaweza kudogg kitu kwa njia kama hizo.Na akiwa katika chama bado JK anawafuasi wengi waomkubali licha ya kuwa ye ni mwenyekiti ila followers wake bdo wapo.Na ndani ya chama kuna fukuto la volcano ila kwa mbinu za JK kuweza kumtumia kinana kutembea nchi nzima na kusema mambo hata yanayousu serikali na kuiponda pia hiyo mambo ni siasa tuu.
Kuhusu UKAWA na CHADEMA hii inaonekana kabisa CHADEMA ndio players wa hii kitu hapa ila tuwape muda tuone itakuwa kwanza kwenye chaguzi za mitaa tuone watafanya nini kama wakianza kupigana katika early stages basi tujue huko mbele kutakuwa kugumu sana kwao.

​PESA YA ESCROW KURUDI HIYO NI NDOTO
 
Back
Top Bottom