Ndo tushangae unashindana na hewa maana hupo mwenyewe na sisi hatumtakiUkiwasha TV unakutana matangazo umchague mwenyekiti wa ccm, radio hivyo hivyo.
Huyu mazeri anahangaika sana mpk kero, sasa hapo hana mgombea wa upinzani yupo peke yake. Angekuwepo sasa? Kodi za wananchi zinatumika vibaya sana
Kuna mkoa mmoja hivi, boda boda na bajaji kipindi anakuja mwenyekiti, walikuwa wanazunguka mitaani kupeperusha bendera za kijani.Ndo tushangae unashindana na hewa maana hupo mwenyewe na sisi hatumtaki
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Nime block pamoja na takukuru man huwa hawaendi kuwachunguza wale jamaa madini wanatoa kiasi gani kwanza njeNimetoka kupokea hiyo sms dakika 10 zilizopita nikabak kusunya
kwelo!!..wagombea, wasimamizi, na mawakala, wakapige kura.
..wengine wote endeleeni na ratiba binafsi siku ya uchaguzi.
Piga block kila smsJitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa