Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

Haya ukiwa huna kazi unataka kupotezea wenzako mda na mada zakutunga kila siku,sio lazma uanzshe uzi kila siku,acha utoto bro,mnakera sana.watu8 unaweza kutuletea thread za huyu mwongo.
 
kudanganywa ni suala la kawaida. na halijaanza leo wala wewe sio wa kwanza. wanaoongoza kudanganya hawana watoto na wanawatoto wengi ni wanaume na wanawake ni wachache.

Hapo cha msingi leo familia ,lea na huyo mtoto ndio majukumu hayo.tena shukuru Mungu umesoma unakazi na mkeo ana kazi
 
Mkuu hapo amnajinsi.kinachoumiza unamlea mtoto wamwanaume mwenzio.akikua atamtafuta baba yake alipo Mimi naona majukumu mwachie mama yake.na baba mtoto.
 
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.

Pole sana, Intelijensia yako ilikuwa ndogo na bahati mbaya ulitokea kumwamini sana akakuzidi maarifa.

Mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005.

Huo ndio ukweli wenyewe, hauna budi kuukubali ikiwa unampenda mkeo kwa dhati. Samehe 7 mara 70. Ikiwa mliweza kukaa miaka yote hiyo kwa amani na furaha, iweje leo jambo hili ambalo hauna uwezo wa kulibadilisha likusumbue? Likubali msongeshe maisha. Mimi nadhani ni bora kwa kuwa umesikia kutoka kwake na sio pembeni.

sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.
.

Sababu ya kukudanganya ni kwamba kipindi kile ulishamwambia msimamo wako, kwamba haupendi kuoa mwanamke ambaye ana mtoto tayari. Kwa hiyo ulitegemea nini zaidi ya hicho alichokutenda? Hata ikiwa haukumwambia, labda kutokana na maongezi yenu alihisi akikueleza utam-mwaga.

Cha msingi hapa wewe komaa na mkeo, pia tambua kuwa huyo mtoto ni binadamu na anahitaji malezi kutoka kwa wazazi/mzazi wake, kwa hiyo FUNGUA moyo wako, na ikibidi mchukue ukae nae hapo ili apate malezi yanayomstahili. Hauwezi jua siku moja huyo mtoto ndo anaweza kukusaidia maishani kushinda hata hao watoto waliotoka kiunoni mwako.

Take Care.
 
Nina rafiki yangu alichumbia mwanamke huku na huko tukalipa mahali lakini baada ya ndoa mwaka mmoja demu akasema ana mtoto!! Sasa swali kwa nini hampendi kusema haya wakati wa urafiki?? Mnatuumiza sana kwani ujipungunzia upendo kwa mumeo na hapo lazima nitoke njia kuu na kuingia mchepuko!
 
Huyu jamaa kila cku yeye n majanga, c uende kwa shigongo akupe kazi z kutunga uongo mana stori zko hazina mashiko
 
siyo wote mpenzi,me nna mtoto but nikiwaambia watu wanakataa,na hata nikiwa nae hawaniamini pia

Kwa nje naweza nisijue kama umezaa lkn kama ungekuwa mke wangu ningejua tu kuwa machine hii na manyonyo haya yamewahi pitisha na kunyonywa na mtoto bana!

Jamaa hakuwa mchunguzi tu
 
Labda mwanamke hakuulizwa swali hilo!!!.....labda jamaa alimwambia 'nakupenda kama ulivyo', msichana aka'assume kuwa hamna sababu ya kumwambia historia!
All in all, kama ameona wanaishi kwa amani kwanini achukie?...cha maana ni wanavyoishi sasa, kuchimbua historia kutawacost!
 
Nina rafiki yangu alichumbia mwanamke huku na huko tukalipa mahali lakini baada ya ndoa mwaka mmoja demu akasema ana mtoto!! Sasa swali kwa nini hampendi kusema haya wakati wa urafiki?? Mnatuumiza sana kwani ujipungunzia upendo kwa mumeo na hapo lazima nitoke njia kuu na kuingia mchepuko!

mkuu, unadhani tatizo hili ni la wanawake tu?

au, unadhani wanawake ndio wadanganyi wakuu wa hili?
 
mjali tumbo una matukio mengiii....kila siku unapata tukio jipya!......inamaana jana tu hapa umepata kipato cha kuweza kumuoa yule chizi wako ulompenda; na huyo chizi kapona kwa siku moja?......we dogo unazingua kama Gogle
mjali tumbo na Gogle ni mtu mmoja ila kwa sasa anakuja kivingine
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo amnajinsi.kinachoumiza unamlea mtoto wamwanaume mwenzio.akikua atamtafuta baba yake alipo Mimi naona majukumu mwachie mama yake.na baba mtoto.

aliniambia kuwa jamaa aliyezaa naye hana mawasiliano naye na pia ni mvuta bangi alihama moro anasikia yuko arusha ila ni mtu wa bangi na mirungi na hataki tena hata kumsikia hivyo majukumu ya mtoto ni yake. na huwa tunajulishana mapato yetu. hata akilea mwenyewe ityakula tu kwangu maana kuna miradi kama ujenzi na kilimo tunafanya pamoja bajeti itapungua tu
 
Pole sana, Intelijensia yako ilikuwa ndogo na bahati mbaya ulitokea kumwamini sana akakuzidi maarifa.



Huo ndio ukweli wenyewe, hauna budi kuukubali ikiwa unampenda mkeo kwa dhati. Samehe 7 mara 70. Ikiwa mliweza kukaa miaka yote hiyo kwa amani na furaha, iweje leo jambo hili ambalo hauna uwezo wa kulibadilisha likusumbue? Likubali msongeshe maisha. Mimi nadhani ni bora kwa kuwa umesikia kutoka kwake na sio pembeni.



Sababu ya kukudanganya ni kwamba kipindi kile ulishamwambia msimamo wako, kwamba haupendi kuoa mwanamke ambaye ana mtoto tayari. Kwa hiyo ulitegemea nini zaidi ya hicho alichokutenda? Hata ikiwa haukumwambia, labda kutokana na maongezi yenu alihisi akikueleza utam-mwaga.

Cha msingi hapa wewe komaa na mkeo, pia tambua kuwa huyo mtoto ni binadamu na anahitaji malezi kutoka kwa wazazi/mzazi wake, kwa hiyo FUNGUA moyo wako, na ikibidi mchukue ukae nae hapo ili apate malezi yanayomstahili. Hauwezi jua siku moja huyo mtoto ndo anaweza kukusaidia maishani kushinda hata hao watoto waliotoka kiunoni mwako.

Take Care.

umechangia vizuri ila muhusika ni kilaza!
 
Kama aliweza kukuficha kwa miaka yote nina mashaka anaweza kuwa na mengine mengi anayoyafanya bila wewe kujua

pia namshauri amkague na ule mtandao unaopendwa na wengi wa TiGo-Pesa maana huwenda wameshafumua hiyo line na yeye bado yupo yupo tu!
 
aliniambia kuwa jamaa aliyezaa naye hana mawasiliano naye na pia ni mvuta bangi alihama moro anasikia yuko arusha ila ni mtu wa bangi na mirungi na hataki tena hata kumsikia hivyo majukumu ya mtoto ni yake. na huwa tunajulishana mapato yetu. hata akilea mwenyewe ityakula tu kwangu maana kuna miradi kama ujenzi na kilimo tunafanya pamoja bajeti itapungua tu

we hata Kilaza anakushangaa jinsi ulivyo!
 
Last edited by a moderator:
Nina rafiki yangu alichumbia mwanamke huku na huko tukalipa mahali lakini baada ya ndoa mwaka mmoja demu akasema ana mtoto!! Sasa swali kwa nini hampendi kusema haya wakati wa urafiki?? Mnatuumiza sana kwani ujipungunzia upendo kwa mumeo na hapo lazima nitoke njia kuu na kuingia mchepuko!
KakaKiiza kuchepuka sio solusheni kamwe wapo wanaume huwaletea watoto wake zao ndani ya ndoa na wao wachepuke?hata wanawake tunaumia mböna hua hatuwaz kuchepuka na tunaishia kulea tu?usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
may be kwa nje lakini kwa ndani ukiwa huna nguo kuna alama kama matiti na mstari chini ya kitovu zinajulisha dhahiri kuwa umezaaa

Kuhusu mstari chini ya kitovu hapo umesomeka vizuri, sasa matiti huwa yanakuaje...ni lapa/a.k.a saa 12 au? Je kuna dalili nyinginezo shosti? maana kuna research naifanya....nisaidie coz kwa maelezo yako naona naweza ingia kingi tena mchana ....kweupee! Nifafanulie zaidi hapo nami nisije nikawa muhanga wa pili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom