Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

yupi mkuu? huyu mleta mada au wewe? mbona sielewi? hahahaaa!! Gogle? meneja wa watu 21? duh.. eti mjali tumbo, wewe ni Gogle?

hahahahah...mwite watu8 atakupa post zake alizo tuma jana na juzi.....yaani kama ni mtoto anazaliwa leo, kesho anakua na kuanza maisha....ndo zilivyo stori za huyu jamaa....UTATA MTUPU:..jana aliampenda kichaa na kutaka awe anammega usiku akirudi job!
 
Last edited by a moderator:
mbona mwanamke alikwisha zaa ana julisha live hukuona hata alama moja
anyway pole lakini maji yakishamwagika hayazoleki msamehe na msonge mbele
:shock:kwa sisi tuliosoma mishenari hatuzijui, tunajua alama za manyonyo kushuka embu nisaidie alama nyingine Miss neddy..:shock:
 
hahahahah...mwite watu8 atakupa post zake alizo tuma jana na juzi.....yaani kama ni mtoto anazaliwa leo, kesho anakua na kuanza maisha....ndo zilivyo stori za huyu jamaa....UTATA MTUPU:..jana aliampenda kichaa na kutaka awe anammega usiku akirudi job!

hahahahaaaa!! aisee hii foolish age noma! mpaka 25 years old haijaisha tu?
 
mwanaume aliyezaa apimwe? hii haiwezekani kabisa shemeji yangu... labda nimuulize Window7 ama Exceptional...! hivi bado uko na window8?
aah!@Window7 ni X bebi na ni current shemeg at the same time aafu @Exceptiona ndo mpango
 
Last edited by a moderator:
aah Window7 ni X bebi na ni current shemeg at the same time aafu @Exceptiona ndo mpango

we nawe hata hueleweki! mara Window7 mara dirisha8! sasa yupi mwenye kibanda?

au ndoa za mikataba yakheeeee??
 
Last edited by a moderator:
mjali tumbo una matukio mengiii....kila siku unapata tukio jipya!......inamaana jana tu hapa umepata kipato cha kuweza kumuoa yule chizi wako ulompenda; na huyo chizi kapona kwa siku moja?......we dogo unazingua kama Gogle

thread kama hizi ni kuzipotezea tu, watoto wadogo wanakuja danganya watu wazima bana
 
We ongeza bajeti bana acha kulia lia, tena shukuru Mungu hujaoa tasa umepata mzoefu wa leba...mbona kwenye ajira tunaulizwa uzoefu wa kazi kwanini kuoa isiwe ivyo?

Vaa viatu vyake; kisha fikilia unaomba ushauri kutoka kwa the great thinkers, halafu anatokea mlevi mmoja wa mataputapu yaliyochanganywa na mbege anato ushauri kama wakwako,
Ungejisikiaje??
 
mbona mwanamke alikwisha zaa ana julisha live hukuona hata alama moja
anyway pole lakini maji yakishamwagika hayazoleki msamehe na msonge mbele

Huyu bana hata mimi namshangaa kutojua kuwa huyo lady ameshazaa kwani angemfikisha kwa mama yake au kwa shangazi wakati wa uchumba wangemshtua. tatizo la ninyi vijana wa siku hizi mnajidai mnajua sana na mnafikiria ku suprise kila wakati
 
hadithi hii inafundisha nini vijana ambao hawajaingia katika mahusiano.... eti ndugu mjali tumbo!
 
Last edited by a moderator:
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.

Mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005.

Na kwamba mwanae na yuko darasa la nne na inabidi katika bajeti zetu tulweke hilo.

sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.

Simlaumu mtoto wala siumii matunzo yake bali kule kudanganywa.

Kwa hakika, inaumiza sana kisaikolojia. Maumivu yake siyo rahisi kuyaelezea pindi unapogundua kuwa mwandani wako alikuhadaa jambo kubwa kama hilo!

Lakini sasa maadamu umefunga nae ndoa, sioni kama kuna njia yoyote ya kutokea zaidi yakumsamehe bure.

Sielewi kwanini mama watoto wako anataka mpange bajeti ya huyo mtoto wake!

Kwani si mtoto huyo ana baba yake? Kwa nini asimwambie baba mtoto akawajibika?

Vilevile, wewe umeshindwa kumuuliza mkeo juu ya baba yake na mtoto huyo?

Mimi ningelikuwa wewe, ningemwambia mwanamke huyo kuwa, maadamu hakuwahi kuniambia habari za mtoto huyo, vilevile asiniambie habari za bajeti ya mtoto huyo.
 
Nimeshamuuliza anasema baba wa mtoto huyo kawa teja hajielewi na hataki kusikia habari ya mtoto hivyo majukumu ya mtoto wake ni yake. na kipato chake na changu huwa tunaviweka pamoja na kupanga cha kufanya
 
Kwa hakika, inaumiza sana kisaikolojia. Maumivu yake siyo rahisi kuyaelezea pindi unapogundua kuwa mwandani wako alikuhadaa jambo kubwa kama hilo!

Lakini sasa maadamu umefunga nae ndoa, sioni kama kuna njia yoyote ya kutokea zaidi yakumsamehe bure.

Sielewi kwanini mama watoto wako anataka mpange bajeti ya huyo mtoto wake!

Kwani si mtoto huyo ana baba yake? Kwa nini asimwambie baba mtoto akawajibika?

Vilevile, wewe umeshindwa kumuuliza mkeo juu ya baba yake na mtoto huyo?

Mimi ningelikuwa wewe, ningemwambia mwanamke huyo kuwa, maadamu hakuwahi kuniambia habari za mtoto huyo, vilevile asiniambie habari za bajeti ya mtoto huyo.

Mkuu mtoto aende kwa babake. Huyo mkeo anakutega. Wewe ulee Wakati baba YAKE anatanua ? Mwonyeshe msimamo pia uwe serious wakati unaadress hiyo issue pia weka mapenzi pembeni kwani una deal na mwongo na fisadi wa mapenzi. Mie Victim.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom