Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.

Mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005.

Na kwamba mwanae na yuko darasa la nne na inabidi katika bajeti zetu tulweke hilo.

sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.

Simlaumu mtoto wala siumii matunzo yake bali kule kudanganywa.
 
Daaah nakuhurumia sana brother ila kwa kuwa ushaingia ndoani basi vumilia tuu ila ni vyema ukatafuta muda mkakaa pamoja mzungumze maana inawezekana pia akaja baadae kudai kuwa kuna mtoto mwingine alizaa akiwa form four naee yuko kwa bibi yake hivyo aingizwe kwenye budget.

huyo mdada alikuwa anataka ndoa tuu ndio maana akakuficha ila ilikuwaje hukuweza kugundua kama alishazaa wakati huo mkiwa wachumba.
 
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005. na kwamba mwanae na yuko darasa la nne na inabidi katika bajeti zetu tulweke hilo.

sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.
simlaumu mtoto wala siumii matunzo yake bali kule kudanganywa.

Hili ni kosa kubwa sana katika mahusiano na linaweza kubatilisha ndoa kabisa.
 
mbona mwanamke alikwisha zaa ana julisha live hukuona hata alama moja
anyway pole lakini maji yakishamwagika hayazoleki msamehe na msonge mbele

siyo wote mpenzi,me nna mtoto but nikiwaambia watu wanakataa,na hata nikiwa nae hawaniamini pia
 
Mkuu miss neddy kuna wengine hawaonyeshi hata kidogo kabisa!!! Tena huyu kwa sababu ya shule ina maana hakunyonyesa muda mrefu. Pia si wote wanapata kitu kama stretch marks wakizaa!!! Hivi unajua kuna watu hata ukiwaona hutaweza kabisa kufahamu kama wamezaa?? Japo kwa siku hizi hata mabinti wadogo tu wana stretch marks na manyonyo kama lapa!!!! Kweli dunia imekwisha!!
 
siyo wote mpenzi,me nna mtoto but nikiwaambia watu wanakataa,na hata nikiwa nae hawaniamini pia

may be kwa nje lakini kwa ndani ukiwa huna nguo kuna alama kama matiti na mstari chini ya kitovu zinajulisha dhahiri kuwa umezaaa
 
mjali tumbo una matukio mengiii....kila siku unapata tukio jipya!......inamaana jana tu hapa umepata kipato cha kuweza kumuoa yule chizi wako ulompenda; na huyo chizi kapona kwa siku moja?......we dogo unazingua kama Gogle
 
Last edited by a moderator:
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.

Mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005.

Na kwamba mwanae na yuko darasa la nne na inabidi katika bajeti zetu tulweke hilo.

sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.

Simlaumu mtoto wala siumii matunzo yake bali kule kudanganywa.

wewe haupendi ile kitu wanaita "SUPRISE"? , kwa mwanamke yeyote we tegemea suprises za kutisha, we ujityuni hivo utakuwa na amani, kwa sababu suprises zingine zaja nyingi tu....
 
Daaah nakuhurumia sana brother ila kwa kuwa ushaingia ndoani basi vumilia tuu ila ni vyema ukatafuta muda mkakaa pamoja mzungumze maana inawezekana pia akaja baadae kudai kuwa kuna mtoto mwingine alizaa akiwa form four naee yuko kwa bibi yake hivyo aingizwe kwenye budget.

huyo mdada alikuwa anataka ndoa tuu ndio maana akakuficha ila ilikuwaje hukuweza kugundua kama alishazaa wakati huo mkiwa wachumba.

ukimwamngalia alivyo huwezi jua , tumezaa naye mtoto mmoja mwingine lakini tumbo lake wala halijakatika.
 
Daah basi noma sana , msamehe ila mpe onyo kuwa amalize supprise zake sasa na akileta nyingine in future utamzingua. Hawa ndio dada zetu ukitangaza ndoa au kuingia kichwa kichwa maumivu ni lazima tuu.
ukimwamngalia alivyo huwezi jua , tumezaa naye mtoto mmoja mwingine lakini tumbo lake wala halijakatika.
 
yaani tulipozaa naye 2012 alikuwa akijikanda kwa maji ya moto na mafuta ya nazi,baada ya kama miezi mitatu yuko normal ,na maziwa yake madogo mno hivyo hayalali.
 
Kwani pombe unazokunywaga zipo kwenye plan?
 
Kama aliweza kukuficha kwa miaka yote nina mashaka anaweza kuwa na mengine mengi anayoyafanya bila wewe kujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom