absolutely Excel tatizo hli liko kote kote mbaya zaidi mume analeta mtoto mdogo kuliko hata firstborn t means kazaliwa pindi mke yupo ndani na hilo tusemeje sasa?mkuu, unadhani tatizo hili ni la wanawake tu? au, unadhani wanawake ndio wadanganyi wakuu wa hili?
Alitaka iwe suprise ndo mana hakusema mapema
Kama aliweza kukuficha kwa miaka yote nina mashaka anaweza kuwa na mengine mengi anayoyafanya bila wewe kujua
eti eh!ha!ha!ha!haa umenchekesha kwel.Alitaka iwe suprise ndo mana hakusema mapema
Tulikutana chuoni na kufahamiana mwaka 2008 ,mwaka 2009 tulimaliza na kupata ajira yeye akiwa education na mimi engineering tukapata ajira na kuanza maisha ya ndoa katika kipindi hicho chote mpaka naenda kwao aliniambia hajawaku kupata mtoto kama mimi kutokana na masomo.
Mwaka jana mwezi wa nane ndio ananiambia anamtoto wake yuko kwa shangazi yake alimzaa alipomaliza kidato cha sita akisubiri kuja chuo 2005.
Na kwamba mwanae na yuko darasa la nne na inabidi katika bajeti zetu tulweke hilo.
sasa kinachoniumiza ni kwa nini alinificha na sasa tunaingia kwenye garama tusizo plan?binafsi napata tabu kama kuna mapenzi ya kweli maana hata baadhi ya rafiki na ndugu sijui watanionaje.
Simlaumu mtoto wala siumii matunzo yake bali kule kudanganywa.
absolutely Excel tatizo hli liko kote kote mbaya zaidi mume analeta mtoto mdogo kuliko hata firstborn t means kazaliwa pindi mke yupo ndani na hilo tusemeje sasa?
mbona mwanamke alikwisha zaa ana julisha live hukuona hata alama moja
anyway pole lakini maji yakishamwagika hayazoleki msamehe na msonge mbele
mkuu huyu ni yule mtu wako Gogle naona hata yeye anakucheka kwa jinsi alivyokuteka!
na kiwepo kipimo cha midume sa sijui tapimwaje mwe.point... hapa inabidi kudadeki kabla hamjazaa mwende kwa daktari kupimana.. (hapa naona mwanamke atakamatika tu!)
sio lazima sana kuwa nazomay be kwa nje lakini kwa ndani ukiwa huna nguo kuna alama kama matiti na mstari chini ya kitovu zinajulisha dhahiri kuwa umezaaa
na kiwepo kipimo cha midume sa sijui tapimwaje mwe.
ha!ha!haa ntakuja na theory ya kupima wanaume wenye watoto aafu wanatuficha.wanaume wapimwe kama wamezaa? impossible! hii nadhani wapimwe tu wanawake... itapunguza sana tatizo la kuja na mtoto unwillingly! uongo sasa basi!
sio lazima sana kuwa nazo
naona unapishana na ndoa ha!ha!haaa ndoa ipo posta we unaenda kibaha.Sio wote wifi...mi nna watoto wawili na kaka ako hajashtukia wala.....
ha!ha!haa ntakuja na theory ya kupima wanaume wenye watoto aafu wanatuficha.