ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

mtwara hawadanginyiki na tena ndio hasira za ndani kwa ndani zimezidi mara dufu kwa kupelekewa mavifaru ya kuwadungua kama waasi ndani ya nchi yao!!!

yaani wewe umekosa cha kusema, unasubiri wapi mtu adondoke ndo uingie,? Pole utabaki na utaratibu wako wa kuangalia mikono ya watu kama inadondoka kama fisi
 
Nasikitika sana kama kweli CHADEMA NI WATANZANIA AU LA, KATIKA KAMPENI NA PITAPITA YAO WANAWADHARAU WATANZANIA ETI TUMEZOEA KUPEWA BURE, WAO WAMEFANYA NINI ZAIDI YA KWENDA KWA WALE MASHOGA NA KUOMBA MISAADA? WANAFIKIRI KUWA NA HELKOPTA NDIO KUONEKANA WAPIGANAJI. CHADEMA WENGI WAMEFANYA SIASA AJIRA KWA HIYO HAWANA PA KWENDA NDO MAANA WANABAKI WANAJENGA CHAMA BADALA YA KUJENGA UCHUMI WA NCHI. ILI WAKIPATA WAWEZE KUPEANA, ASAS WAZIRI KIVULI NI LEVEL GANI YA ELIMU ZAO/ mbona ,Myika amekimbia chuo tena akiwa anasoma EVENING CLASS YAKAMSHINDA SASA ANAISHIA KUKARIRI TAARIFA NA KUTAPIKA BUNGENI, MAINTERLECTUAL TUSIDNGANYWE,,,,,,,,ALL CHADEMA ARE OPORTUNISTY ONLY, NOTHING THEY HAVE!

wewe na kamdomo kako aliyekuambia Mnyika kakimbia shule ni nani? Kìherehere tu, kwa hao maprofesa wameisaidia vipi nchi yetu, i'm non-partisan but you have bored me!
 
Je!! Matajiri wakubwa hawaruhusu kuwekeza Tanzania?

Ama kosa lake ni kuwa rafiki wa CCM?
 
Nasikitika sana kama kweli CHADEMA NI WATANZANIA AU LA, KATIKA KAMPENI NA PITAPITA YAO WANAWADHARAU WATANZANIA ETI TUMEZOEA KUPEWA BURE, WAO WAMEFANYA NINI ZAIDI YA KWENDA KWA WALE MASHOGA NA KUOMBA MISAADA? WANAFIKIRI KUWA NA HELKOPTA NDIO KUONEKANA WAPIGANAJI. CHADEMA WENGI WAMEFANYA SIASA AJIRA KWA HIYO HAWANA PA KWENDA NDO MAANA WANABAKI WANAJENGA CHAMA BADALA YA KUJENGA UCHUMI WA NCHI. ILI WAKIPATA WAWEZE KUPEANA, ASAS WAZIRI KIVULI NI LEVEL GANI YA ELIMU ZAO/ mbona ,Myika amekimbia chuo tena akiwa anasoma EVENING CLASS YAKAMSHINDA SASA ANAISHIA KUKARIRI TAARIFA NA KUTAPIKA BUNGENI, MAINTERLECTUAL TUSIDNGANYWE,,,,,,,,ALL CHADEMA ARE OPORTUNISTY ONLY, NOTHING THEY HAVE!

aibu yako adi LEO UNA SIFA ZA KIHAYA ETI KUSOMA WAKATI ,HATA UWEZO WA KUTASFIRI PICHA KWA KUIONA HUJUI....HUONI AIBU KWA KUJITANGAZA KUWA WEWE NI MFUASI WA CCM..NJAA ITAKUUA ...NINZAKO..
 
wewe na kamdomo kako aliyekuambia Mnyika kakimbia shule ni nani? Kìherehere tu, kwa hao maprofesa wameisaidia vipi nchi yetu, i'm non-partisan but you have bored me!



Mshaurini arudi darasani. Masomo ya jioni yalimshinda.
 
Source: TBC
Kiwanda cha cementi kitajengwa eneo la MUSALE mkoani Mtwara. Kichocheo ni uwepo wa gesi ASILIA.
MANUFAA: kitaajiri watu 5,000, kitachochea maendeleo ya kusini n.k.
MWEKEZAJI: ni ALIKO DANGOTE yule tajiri wa NIGERIA na mmoja wa matajiri wakubwa AFRICA.
WAKANDARASI: Kiwanda kitajengwa na WAASIA!
SIFA: Kitakuwa kiwanda kikubwa kabisa AFRICA.

TETESI SERIKALINI/MTAANI/NDANI YA CHAMA: Kuna tetesi serikalini, Lumumba na mtaani kuwa kiwanda hiki kitakuwa na mkono wa CCM!..

SISIEMU itaambulia 10% (bila kuchangia fedha yoyote) - kwa kuwa mwekezaji mwenza kwa kutumia mikataba waliyoingia na DANGOTE kipindi cha uongozi wa MUKAMA ndani ya CCM..

Hali hii inachagizwa na ziara ya bwana DANGOTE hapa nchini kubebwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Taarifa zaidi zinaonyesha. ….Harakati zote hizi za kuanzisha makampuni ya biashara, kusaka nafasi za tenda na uwekezaji, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, ambao chama cha mapinduzi kinajiandaa kifedha kukabiliana na upinzani mkali utakaowalazimu kuingia gharama kubwa sana kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika TANZANIA.

My take: Natarajia kuona CCM ikicheza michezo michafu mingi kwa siri au wazi wazi ili ijihakikishie usalama 2015.
Natarajia kuona fedha nyingi zikiendelea kukusanywa na kutumika kuhujumu demokrasia kama hali inavyoendelea sasa.

Wameshindwa siasa sasa wamejibadirisha kuwa chama cha kibiashara? Kwa faida ya nani?
Tanzania tumeibiwa kweli.
 
yaani wewe umekosa cha kusema, unasubiri wapi mtu adondoke ndo uingie,? Pole utabaki na utaratibu wako wa kuangalia mikono ya watu kama inadondoka kama fisi
Kapokee buku saba zako lumumba project wewe njaa kali....
 
Kila mara makaisa na misikiti mkiwa na jambo la jumuiya yenu mnaita ccm ili wapige kampain hamuoni kuwa kufanya hivyo mnaonesha kuwa nanyi nisehemu ya udhalimu wa serikali ya ccm, ambapo waumini walio wengi ni masikini sana lakini ninyi mnakumbatia wezi au nanyi ni wale wale! angalia Sita,Membe,aden rage,Nyarandu mwenye danguro arusha!!! Lowassa Kikwete n.k.

Ushauri hebu Karibisha siku nyingine watu hawa muone tofauti jinsi senti kumi ilivyo kubwa kuliko hizo milion za sita na wezi wenzake ccm....Karibisha Dr. Slaa,Mbatia,Lipumba,Mrema,Mtikila, Cheyo,Mapalala, Peter,Tundu Lisu, Mbowe,Mkosamali n.k!!
 
Mi sitaki kujua nani anamiliki ccm ina hisa ngapi! Kiwanda kijengwe bei ya cement ishuke watz wa mtwara wapate ajira na fursa zingine zifunguke hayo mengine endeleeni nayo jana dangote katangaza kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta kwao nigeria ambacho kwa siku kitatoa mapipa zaidi ya laki 4 itakua msaada mkubwa kwa mwananchi wa kawaida wa nigeria

we ni mke wa dangote
 
Anamiliki chama cha siasa kiitwacho PDP kule Nigeria,

Anamadudu mengi sana.

mkuu, kwa hiyo ccm magamba wakibadilishwa na dangote kuwa kampuni la biashara itabidi i cease kuwa political party automaticaly? hebu tusaidie wadau.
 
we ni mke wa dangote
usipate hasira hilo jina tu,anamiliki nani asilimia ngapi hainihusu wazalishe cement,ajira,walipe kodi na cement iwe ya bei rahisi mwananchi wa kawaida nifaidike hayo mabishano ya siasa hapo juu hayanihusu coz wengi wanaopiga siasa hapa JF wanalipwa for that ama lumumba au kinondoni
 
Wakuu hebu tusaidieni hili la Pinda kwenda kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa kiwanda cha cement huku akiwa amezungukwa na askari JESHI na askari POLICE wakiwa wamebeba silaha nzito linatoa picha gani kwa nchi yenye amani na utulivu?
 
MTWARA= Maarifa Tunayo Wazawa Angalieni Rais Anatichakachuwa.

Hii miradi na mikataba ya kuforce sio BURE.
 
CCM ata wawe na back up ya Bill Gates kuendelea kuiongoza Tz ni ndoto.
Tatizo kuu likiwa makundikwenye chama bila kusahahu utitiri wa viongozi wenye kujari maslai binafsi na kuyatelekeza maslai ya UMMA uku wakimwacha Mtanzania akigugumia kwa ugumu wa maisha siku hadi siku!
 
10% ya serikali au ya ccm? mbona tunaongozwa na VIBAKA, wanyang'anyi na walafi wasiokuwa na chembe hata kidogo ya UTU. Hiyo 10% si ingekuwa basi ya serikali ili hata cc walalahoi wa huku Magharibi tuweze kujengewa hata barabara make vumbi lilivyo jekundu mmmmh? lakini powa tu matabaka ya wenye nacho yalishajengwa.
 
Aliko-Dangote1.jpg
 
[TABLE="class: infobox biography vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Aliko Dangote[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
Aliko Dangote in 2011[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Born[/TH]
[TD](1957-04-10) 10 April 1957 (age 56)
Kano, Nigeria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Residence[/TH]
[TD="class: label"]Lagos, Nigeria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality[/TH]
[TD="class: category"]Nigerian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Ethnicity[/TH]
[TD="class: category"]Hausa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Citizenship[/TH]
[TD="class: category"]Nigeria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Education[/TH]
[TD]Business Studies, Al-Azhar University, Cairo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Occupation[/TH]
[TD="class: role"]Chairman & CEO, Dangote Group[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Years active[/TH]
[TD]1977—present[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Net worth[/TH]
[TD]
12px-Green_Arrow_Up_Darker.svg.png
US$ 20 billion (2013)[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Title[/TH]
[TD="class: title"]Alhaji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Religion[/TH]
[TD="class: category"]Islam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Parents[/TH]
[TD]Mariya Sanusi Dantata (mother), Mohammed Dangote (father

"Aliko Dangote has a knack for seeing opportunity that others can't see. He approached the Nigerian Ports Authority with the idea of leasing an abandoned piece of land at the Apapa Port, where he subsequently built facilities for his flour company. When other flour companies protested, the chairman of the NPA, Chief Olabode George stated that Dangote was the one who came up with the idea. Similarly, in the 1990s when he approached the Central Bank of Nigeria with the idea that it would be cheaper for the bank to allow his transport company to manage their fleet of staff buses.
"[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom