ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

tenende

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
6,511
Reaction score
506
Source: TBC
Kiwanda cha cementi kitajengwa eneo la MUSALE mkoani Mtwara. Kichocheo ni uwepo wa gesi ASILIA.
MANUFAA: kitaajiri watu 5,000, kitachochea maendeleo ya kusini n.k.
MWEKEZAJI: ni ALIKO DANGOTE yule tajiri wa NIGERIA na mmoja wa matajiri wakubwa AFRICA.
WAKANDARASI: Kiwanda kitajengwa na WAASIA!
SIFA: Kitakuwa kiwanda kikubwa kabisa AFRICA.

TETESI SERIKALINI/MTAANI/NDANI YA CHAMA: Kuna tetesi serikalini, Lumumba na mtaani kuwa kiwanda hiki kitakuwa na mkono wa CCM!..

SISIEMU itaambulia 10% (bila kuchangia fedha yoyote) - kwa kuwa mwekezaji mwenza kwa kutumia mikataba waliyoingia na DANGOTE kipindi cha uongozi wa MUKAMA ndani ya CCM..

Hali hii inachagizwa na ziara ya bwana DANGOTE hapa nchini kubebwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Taarifa zaidi zinaonyesha. ….Harakati zote hizi za kuanzisha makampuni ya biashara, kusaka nafasi za tenda na uwekezaji, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, ambao chama cha mapinduzi kinajiandaa kifedha kukabiliana na upinzani mkali utakaowalazimu kuingia gharama kubwa sana kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika TANZANIA.

My take: Natarajia kuona CCM ikicheza michezo michafu mingi kwa siri au wazi wazi ili ijihakikishie usalama 2015.
Natarajia kuona fedha nyingi zikiendelea kukusanywa na kutumika kuhujumu demokrasia kama hali inavyoendelea sasa.
 
Tenende, maendeleo tunayataka sana, lakini wizi na uhuni huu hauwezi kuvumilika. Nakumbuka si mara ya kwana kusikia habari hii. Hata alipokuja DANGOTE na kupokelewa na timu ya LUMUMBA kama rafiki wa chama magazeti yaliandika mambo mengi sana. Kama unazo /au mtu mwingine anazo picha za jamaa huyu wekeni hapa ili tujadili vizuri.
 
Huyu Jamaa ni Tajiri wa kwanza Africa na wa fasi ya 43 duniani as per http://www.forbes.com/profile/aliko-dangote/, sidhani yeye kama mwekezaji mkubwa duniani anadhamira mbaya ya uwekezaji wake hapa nchini. Tatizo lipo kwa hawa manyang'anyi wetu waliompokea na kumuonesha rasilimali zetu. Hawa ndio watampa posibilities za kutuibia na kuihujumu nchi yetu. Huyu jamaa angejua kuwa ccm ni genge la mafisadi nadhan asingechangamana nao mana forbes hawakubali matajiri wezi wezi.
 
Huyu Jamaa ni Tajiri wa kwanza Africa na wa fasi ya 43 duniani as per Aliko Dangote - Forbes, sidhani yeye kama mwekezaji mkubwa duniani anadhamira mbaya ya uwekezaji wake hapa nchini. Tatizo lipo kwa hawa manyang'anyi wetu waliompokea na kumuonesha rasilimali zetu. Hawa ndio watampa posibilities za kutuibia na kuihujumu nchi yetu. Huyu jamaa angejua kuwa ccm ni genge la mafisadi nadhan asingechangamana nao mana forbes hawakubali matajiri wezi wezi.
wakubali wasikubali, kwani forbes ni nani, bwana? Sisi kama chama tutashirikiana naye kwa uwazi au kwa kificho
 
Mkuu rekebisha title kidogo, sio 'aigeuza' bali ni 'agundua.' CCM ishabadilika siku nyingi.
 
Ma-ccm tunayafuatilia kwa kila hatua kuhusu kinachoendelea Mtwara. Dangote asikubali kuchangamana nao kwa hila. ataula wa chuya, Mtwara bado ya moto.
 
Dangote ndiyo zake.Hata kule Nigeria anashirikiana na chama tawala cha PDP kufanya ufisadi

Aliwachangia mamilioni ya hela uchaguzi uliopita

Aliwahi kukumbwa na kashfa ya kuchakachua hisa alipokua mwenyekiti wa soko la Hisa Nigeria
 
HAKUNA yeyote duniani
anayeweza kumfanya mtu
mwingine akaacha kufikiri
isipokuwa mtu mwenyewe
husika, na kwa hakika
kishawishi cha kuacha kufikiri
ni kikubwa kwa sababu kufikiri
ni kazi ngumu yenye kuzalisha
changamoto nyingi ambazo ni
watu jasiri tu ndio wako tayari
kupambana nazo. Huyo ni Nyerere.
 
Usiku kucha umelala ukiwaza uamke na uwongo gani ili na wewe uonekane umeanzisha thread
 
Huyu Jamaa ni Tajiri wa kwanza Africa na wa fasi ya 43 duniani as per Aliko Dangote - Forbes, sidhani yeye kama mwekezaji mkubwa duniani anadhamira mbaya ya uwekezaji wake hapa nchini. Tatizo lipo kwa hawa manyang'anyi wetu waliompokea na kumuonesha rasilimali zetu. Hawa ndio watampa posibilities za kutuibia na kuihujumu nchi yetu. Huyu jamaa angejua kuwa ccm ni genge la mafisadi nadhan asingechangamana nao mana forbes hawakubali matajiri wezi wezi.

Aliko DANGOTE hana huruma na masikini. Ukifuatilia mahusiano yake na Chama tawala cha Nigeria utaelewa ni mtu wa namna gani....yeye kama walivyo wafanyabiashara wengine wakubwa wanajali faida tu...msidhani anawapenda sana nyie Watz
 
mmmmh.. if thats the case, this country is heading to hell..

Mungu atuepushe na civil war...!!
 
Endapo hii nchi itakuja kuchukuliwa na upinzani kuna mambo mengi ya ajabu yatafichuliwa!! Tutaona vitu vingi sana!! Na hili wakilifikilia viongozi wa CCM wanatafuta kila njia kuhakikisha upinzani hautii mguu magogoni!!
 
Source: TBC
Kiwanda cha cementi kitajengwa eneo la MUSALE mkoani Mtwara. Kichocheo ni uwepo wa gesi ASILIA.
MANUFAA: kitaajiri watu 5,000, kitachochea maendeleo ya kusini n.k.
MWEKEZAJI: ni ALIKO DANGOTE yule tajiri wa NIGERIA na mmoja wa matajiri wakubwa AFRICA.
WAKANDARASI: Kiwanda kitajengwa na WAASIA!
SIFA: Kitakuwa kiwanda kikubwa kabisa AFRICA.

TETESI SERIKALINI/MTAANI/NDANI YA CHAMA: Kuna tetesi serikalini, Lumumba na mtaani kuwa kiwanda hiki kitakuwa na mkono wa CCM!..

SISIEMU itaambulia 10% (bila kuchangia fedha yoyote) - kwa kuwa mwekezaji mwenza kwa kutumia mikataba waliyoingia na DANGOTE kipindi cha uongozi wa MUKAMA ndani ya CCM..

Hali hii inachagizwa na ziara ya bwana DANGOTE hapa nchini kubebwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Taarifa zaidi zinaonyesha. ….Harakati zote hizi za kuanzisha makampuni ya biashara, kusaka nafasi za tenda na uwekezaji, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, ambao chama cha mapinduzi kinajiandaa kifedha kukabiliana na upinzani mkali utakaowalazimu kuingia gharama kubwa sana kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika TANZANIA.

My take: Natarajia kuona CCM ikicheza michezo michafu mingi kwa siri au wazi wazi ili ijihakikishie usalama 2015.
Natarajia kuona fedha nyingi zikiendelea kukusanywa na kutumika kuhujumu demokrasia kama hali inavyoendelea sasa.
Ikiwa ccm inatarajia kushinda 2015 kwa kucheza rafu inaweza kuwa mwisho wa amani na utulivu nchini. I hope watachagua njia ya kuwaridhisha wananchi kwa kufanya utawala bora.
 
Source: TBC
Kiwanda cha cementi kitajengwa eneo la MUSALE mkoani Mtwara. Kichocheo ni uwepo wa gesi ASILIA.
MANUFAA: kitaajiri watu 5,000, kitachochea maendeleo ya kusini n.k.
MWEKEZAJI: ni ALIKO DANGOTE yule tajiri wa NIGERIA na mmoja wa matajiri wakubwa AFRICA.
WAKANDARASI: Kiwanda kitajengwa na WAASIA!
SIFA: Kitakuwa kiwanda kikubwa kabisa AFRICA.

TETESI SERIKALINI/MTAANI/NDANI YA CHAMA: Kuna tetesi serikalini, Lumumba na mtaani kuwa kiwanda hiki kitakuwa na mkono wa CCM!..

SISIEMU itaambulia 10% (bila kuchangia fedha yoyote) - kwa kuwa mwekezaji mwenza kwa kutumia mikataba waliyoingia na DANGOTE kipindi cha uongozi wa MUKAMA ndani ya CCM..

Hali hii inachagizwa na ziara ya bwana DANGOTE hapa nchini kubebwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Taarifa zaidi zinaonyesha. ….Harakati zote hizi za kuanzisha makampuni ya biashara, kusaka nafasi za tenda na uwekezaji, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, ambao chama cha mapinduzi kinajiandaa kifedha kukabiliana na upinzani mkali utakaowalazimu kuingia gharama kubwa sana kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika TANZANIA.

My take: Natarajia kuona CCM ikicheza michezo michafu mingi kwa siri au wazi wazi ili ijihakikishie usalama 2015.
Natarajia kuona fedha nyingi zikiendelea kukusanywa na kutumika kuhujumu demokrasia kama hali inavyoendelea sasa.
Kutokana na suala hili nimemuona na rafiki yangu Jerry Murro.

Karibu TZ Tajiri Dangote uwafundishe hawa wanaojiiita mabilionea kwa kuendesha vijindege vya abiria watatu tu.
 
Usiku kucha umelala ukiwaza uamke na uwongo gani ili na wewe uonekane umeanzisha thread

Unajua komenti nyingine zinaonesha jinsi gani mtu anakurupuka bila kufanya utafiti.. Soma comments nyingine ndipo utoe maoni yako kwa maslahi ya taifa. Uhusiano kati ya CCM na DANGOTE ni wa kutia mashaka, nina UHAKIKA kama si leo basi siku zijazo watu watakuja na ushahidi mzito dhidi ya uchafu huu wa walimu. Fanya utafiti.
 
Kama lengo la CCM ni kuchukua nchi 2015 wajue wataichukua kwa shida sana na kwa walivyo watu wa njaa wanaweza kusababisha machafuko kwa sababu tu hawajazoea kuwa chini ya uongozi wa watu wengine.
 
Aliko DANGOTE hana huruma na masikini. Ukifuatilia mahusiano yake na Chama tawala cha Nigeria utaelewa ni mtu wa namna gani....yeye kama walivyo wafanyabiashara wengine wakubwa wanajali faida tu...msidhani anawapenda sana nyie Watz

Mkuu naona unatoka nje ya mada,hakuna mtu aliyesema Alhaji Aliko Dangote anawapenda watanzania.Kinachosemwa hapa ni kuwa ccm wamemnyakua mtu huyu kwa maslahi yao binafsi.

Dongote kama mfanyabiashara yeyote yule duniani yeye interest yake ni faida tu na wala si kingine, sasa wadau wengi tunataka uwepo wa kiwanda chake usaidie ukuaji wa kipato cha Tanzania na siyo Lumumba.
 
Back
Top Bottom